screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,902
- 15,931
Sio wazungu, ni hawa wasela mavi 'black america' lifestyle yao ndo inawauaivi ni kkwann wanamuzik wa kimarekani lazima wawe mawakala wa makundi ya uhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wazungu, ni hawa wasela mavi 'black america' lifestyle yao ndo inawauaivi ni kkwann wanamuzik wa kimarekani lazima wawe mawakala wa makundi ya uhalifu
Ni tofauti za kiiman bab....pale china chairman mao amewekwa kama sanamu hajazikwa mpaka leo....toka 1970s...hii si sawa hata kidogo, yaani mtu ana fariki leo kasha wajanja wanakuweka kwenye friji kwa takriban wiki3 kasha wanauzungusha mwili wako mji mzima alafu wiki ya 4 ndiyo wanakuzika, hapana kuna kitu hakipo sawa apo!