Kweli kabisaAcha zako.
Usichojua hiyo ni mila ya kabira la ga-adangbe lipo huko Ghana ambapo wenyewe mtu ukifa unatengenezewa jeneza kulingana na kazi uliyokuwa unaifanya, kama ulikuwa nesi bas jua utatengenezewa jeneza kama sindano, kama ni dreva jua unachongewa gar hivyo hvyo na kwa kaz nyingine
Mtoa post katoa funzo wanawake waache umalaya.Duh
sijui unamaana gani.....?!
Kweli kabisa
Muhuni.Ha ha ha
So hakuna mwanaume Malaya?
Mwanaume mwenye tabia hizo anaitwaje?
Aisee, wewe mtoto safi sana...unapenda kujifunza.Umenifanye niende nikasome Wikipedia
Asante nimejifunza maajabu ya dunia hii
Hapo jiulize shoga jeneza lake litakuweje😂😂😂Umenifanye niende nikasome Wikipedia
Asante nimejifunza maajabu ya dunia hii
Sasa wale wajuba watalibeba vipi kwenye kucheza naloHuko Ghana familia imeamua kuchonga jeneza la binti yao lililofanana na kitu alichokipenda zaidi, yaani uume za wanaume.
Funzo: wadada acheni umalaya.View attachment 1514923View attachment 1514924
AiseeHuko Ghana familia imeamua kuchonga jeneza la binti yao lililofanana na kitu alichokipenda zaidi, yaani uume za wanaume.
Funzo: wadada acheni umalaya.View attachment 1514923View attachment 1514924
Of Course, hili watu wengi wanalisahau sana..Hakunaga mwanamume malaya... habari ndio hiyo
Hata yao hayatishi ila yapo fun sana😀😀Ni nomaaa.Tafsiri yake ni kwamba maumbile yetu hayatishi km yale ya wenzetu akina mama.