una hakika? Ndo leo nasikia habari hii kutoka kwako. Kama siyo kweli Mungu akusamehe bure.Natumai huyu sio bilionea.
Alikua ni mwana ccm aliyetukuka na alitumika kuwahadaa wananchi.
Mwaka 1999 alizunguka Tanzania nzima kuwadanganya watanzania kuwa trh 1/1/2000 ni mwisho wa dunia na watanzania walifurika kwenye mikutano wake wakigalagala, kutubu na kuwagana huku wakiaidiana kuonana mbinguni.