DR SLAA Anamaanisha nini kusema Zanzibar ndio Chimbuko la Ukirsto Tanzania?
Anamaanisha ukristu uliingia zanzibar kabla ya tanganyika, rejea historia ya kanisa na umisionari tanzania (africa mashariki)
DR SLAA Anamaanisha nini kusema Zanzibar ndio Chimbuko la Ukirsto Tanzania?
Kaeleza wazi kuwa ndiko Ukristo ulipoanzia na wamisioari wa kwanza walifikia Zanzibar.Je kuna ubaya kwa matamshi yake hayo?
Ana maanisha kwamba wamisionary walioleta ukristo hapa Tanzania kwa mara ya kwanza miaka mingi kabla ya uhuru walianzia Zanzibar - siyo mbeya, mwanza au Mtwara (yaani Tanganyika wakati huo).
Hakuna mazishi ya askofu Znz! Ni mazishi ya fr Mushi na hakua Askofu!sasa hii inauhusiano gani na kifo cha huyo askofu?
It is clear kwani Zanzibar ndo ilikuwa njia ya kuingilia bara.Hata hao wavumbuzi kama walivyokuwa wanajulikana wote walifikia kwanza Zanzibar kabla ya kuingia bara.Naamini hili halina utata!Hakuna aliyesema kuna ubaya, ila sikuwahi kufahamu hii taarifa, kwa hiyo kama wewe unakubali kwamba huo ndio uwazi unaweza ukatoa maelezo ya ziada kama yapo.
Hakuna mazishi ya askofu Znz! Ni mazishi ya fr Mushi na hakua Askofu!
DR SLAA Anamaanisha nini kusema Zanzibar ndio Chimbuko la Ukirsto Tanzania?
kwa nini usiweke hapa summary ya uelewa wako juu ya hiyo history? una uhakika gani kwamba nina access nayo?
......
Sasa hii inauhusiano gani na kifo cha huyo askofu?
......
Sio DR. Slaa. Ni historia inasema hivyo. Wamisionari wa kwanza walianzia Zanzibar na Bagamoyo. Usipopenda unajisahaulisha.
.......
muuliza mamayo....
Speaker ndio tumefikia huko???
......
.DR SLAA Anamaanisha nini kusema Zanzibar ndio Chimbuko la Ukirsto Tanzania?
.....
kwa nini usiweke hapa summary ya uelewa wako juu ya hiyo history? una uhakika gani kwamba nina access nayo?
Rais hajahudhuria bado kwa ajili ya kupiga Picha za kumbukumbu?.........!
Rais hajahudhuria bado kwa ajili ya kupiga Picha za kumbukumbu?.........!