Mazingira ya Lupaso Mtwara tumeyaona, tufanye marekebisho

Ndo tabu ya kuoa mmachame. Akamwambia wakajenge Lushoto maana ni barabara hiyo hiyo kwenda Machame. Lushoto Machame vs Lupaso Machame.
Anna Maro ni kiboko.
Nani kakuambia amejenga Lushoto, Ile nyumba ya Lushoto ilikuwa ikulu ndugu ya serikali na Mkapa alipapenda kule.... Unajua Nani alimtafutia pande huko Mkapa ni Brdg H. Ngwilizi
Tembeeni muone mtaelewa na kujifunza mambo mengi

Ova
 
Nani kakuambia amejenga Lushoto, Ile nyumba ya Lushoto ilikuwa ikulu ndg ya serikali na Mkapa alipapenda kule.... Unajua Nani alimtafutia pande huko Mkapa ni Brdg H. Ngwilizi
Tembeeni muone mtaelewa na kujifunza mambo mengi

Ova
Mkuu tufafanulie kidogo na sisi tujue kwa nini Mkapa alijenga huko Lushoto
 
Mkuu huwezi kumridhisha binadamu hata siku moja. Muhimu fanya yale yanayokuhusu na kukufaidisha wewe tu kama wazungu walivyoamua kuishi
Kazi kweli kweli!
Ubinadam kazi.... Mimi Kweli huwa napinga lakini siyo kila kitu napinga nakiona jambo nalikubali nasema ukweli....

Ova
 
Nani kakuambia amejenga lushoto, Ile nyumb ya lushoto ilikuwa ikulu ndg ya serikali na mkapa alipapenda kule.... Unajua Nani alimtafutia pande huko mkapa ni brdg h. Ngwilizi
Tembeeni muone mtaelewa na kujifunza mambo mengi

Ova
Acha uongo. Kule alipanunua na akapajenga ingawa palikuwa pana nyumba. Akapajenga kwa style yeye anataka. Hilo eneo according to yeye ni alinunua kwa watoto walioachiwa urithi na walikuwa na mgogoro.Point here is why akajenge Lushoto na siyo kwao Lupaso ?Mmachame kachangia sana kwa hili.
 
Una uhakika kama Lupaso hakujenga, subiri muda utaongea ndio utajua kama alijenga au hakujenga
 
Chuttle tayari kuna
Lani
Traffic lights
3 ★ hotel
Airport
Bank
Mbuga ya wanyama
Fire
Nknk

Jr
Chuttle Stadium.

Nimependa wazo la mleta mada.
Binadamu tumejawa na tabia yabkukosoana sana na kuanza kuweka kila jambo kwenye mizani ya kisiasa.

Hii inaweza kuwa njia BORA zaidi ya kumuenzi Mh. Mkapa ama kwa kufanya jambo linalofanana na hilo.

Kwa suala la Chuo Kikuu ni fursa adhimu kwa Jamii yote na wahitaji wa Elimu wote huku kukiwekwa kumbukumbu ya kudumu.

Na kisiwe tu Chuo Kikuu bali Chuo Kikuu Bora
 
Mtu akipeleka maendeleo kwao watu wanalalamika
Asipopeleka maendeleo kwao pia watu wanalalamika
Wanadam wanataka nini??????????

Ova
Bora upeleke maendeleo kwenu.Maana hata wanaolalamika siku ukifa itakuwa rahisi kwenda kukuzika au kutembelea kaburi lako. Pia itakuwa alama kubwa kwa wanakijiji wenzako watakushukuru kwa kuwaletea maendeleo.
 
Acha uongo. Kule alipanunua na akapajenga ingawa palikuwa pana nyumba. Akapajenga kwa style yeye anataka. Hilo eneo according to yeye ni alinunua kwa watoto walioachiwa urithi na walikuwa na mgogoro.Point here is why akajenge Lushoto na siyo kwao Lupaso ?Mmachame kachangia sana kwa hili.
Ila wakati mwingine wanawake hulaumiwa sana hata kama makosa si ya mke, kuna wanaume wengine huwa hawashauliki anafanya yeye kama yeye au mke unapewa taarifa tu, lakini watu wa nje mzigo wanamwangushia mke, kwani kabla hajawa rais si walikuwa wametengana kwanini napo hakujenga kwao?
 
Huyo ndio rais wa pili baada ya Nyerere kufa maskini. Wengine wote hawajafanya makosa ndio maana watoto wao tunawapa nyadhifa mbalimbali za kichama na kiserikali.
 
Bora upeleke maendeleo kwenu.Maana hata wanaolalamika siku ukifa itakuwa rahisi kwenda kukuzika au kutembelea kaburi lako. Pia itakuwa alama kubwa kwa wanakijiji wenzako watakushukuru kwa kuwaletea maendeleo.
Kuhusu Kupeleka maendeleo kwenu ni hiyari ya mtu
Na nature ya mtu, angepeleka maendeleo sana kwao
Tungelalamika pia

Ova
 
Ila wakati mwingine wanawake hulaumiwa sana hata kama makosa si ya mke, kuna wanaume wengine huwa hawaamniliki anafanya yeye kama yeye au mke unapewa taarifa tu, lakini watu wa nje mzigo wanamwangushia mke, kwani kabla hajawa rais si walikuwa wametengana kwanini napo hakujenga kwao?
Umeshasema alikuwa bado hajawa Rais. Pia hujiulizi why Anna alisepa ila baada ya mmewe kuwa Rais akakubali kurudi ?
 
Back
Top Bottom