Mazingaombwe Tuamini au Tusiamini?

Mazingaombwe Tuamini au Tusiamini?

Most of the so called magic tricks are just illusions performed in a well coordinated manner such that the spectactors belive what the magician wants them to belive. I can teach you a few tricks.
No Thanks Mambo ya Elimu Dunia Hapana! Mkuu
 
Sio uchawi ni tricks. . . hua naangalia kipindi kinaitwa "Magicians secret revealed" hamna mtu anaekatwa kweli, anaevuja maji, anaetoweka wala nini. Na kuna movie inaitwa The double nadhani kama sikosei, tafuta uone kwamba ni utundu tu na sio uchawi wa aina yoyote ile.

Kuna sehem ni trick na kuna sehem uchawi yale ya Power Mabula hakuna trick gari kupita tumboni ni trick zakichawi.
 
mAZINGAOMBWE NI UCHAWI, hakuna kufarijiana hapa. Kama wewe ni mmoja wao, ninakuambia mchana kweupe nawe ni mchawi.Tusidanganyane mazingaombwe ni uchawi

HAKIKA NI UCHAWI! mia
 
Uchawi, narudia tena ni uchawi, kwa herufi kubwa na kwa msisitizo narudia, NI UCHAWI.
 
Kuna sehem ni trick na kuna sehem uchawi yale ya Power Mabula hakuna trick gari kupita tumboni ni trick zakichawi.

Hahahaha. . . .
Haya bana we amini uchawi hata pasipo uchawi.
 
Back
Top Bottom