Hivi mazingaumbwe si uchawi?!mi binafsi siamini
This is really scary i see
mAZINGAOMBWE NI UCHAWI, hakuna kufarijiana hapa. Kama wewe ni mmoja wao, ninakuambia mchana kweupe nawe ni mchawi.Tusidanganyane mazingaombwe ni uchawi
kinyaa kitupu.akitoka hapa mkewe anakwenda kumkiss aaarghhh.
umeanza tena tabia yako ya kuwaza waza mambo ya chumbani kwa wazazi wako.!? Mwone kwanza sura ka cheupe mangara!!?
Sio uchawi ni tricks. . . hua naangalia kipindi kinaitwa "Magicians secret revealed" hamna mtu anaekatwa kweli, anaevuja maji, anaetoweka wala nini. Na kuna movie inaitwa The double nadhani kama sikosei, tafuta uone kwamba ni utundu tu na sio uchawi wa aina yoyote ile.mAZINGAOMBWE NI UCHAWI, hakuna kufarijiana hapa. Kama wewe ni mmoja wao, ninakuambia mchana kweupe nawe ni mchawi.Tusidanganyane mazingaombwe ni uchawi