Mazense crew live clouds tv,fetty, sos b, bdozen na adam mchove

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,012

jamaa walisaulika kwenye sanaa ila baada ya kuingizwa kwenye project ya vinega wakarubuniwa na clouds fm na sasa wanapewa air time ila wasingetokea hapa bila antvirus.
Pongezi kwa sugu kawakumbusha wadau wa mziki kuwa hawa wakongwe walitemwa na media na sasa wamemulikwa.
 
Du, kumbe SOS BIZO bado yupo kwenye fani!
Ni mkongwe sana kwenye gemu huyu dogo!...sijui mafanikio yake yakoje!
 
Sugu keshawaambia acheni kuslikiliza hiyo radio.... mbona mnaendelea kusikiliza ..????!! hehehe! kweli clouds kisima ... utakimbia maji yakikatika utarudi tu...
 
Hayo ndio mapinduzi ya kweli,sasa ni zamu ya clouds na redio nyingine kuwatafuta wasanii na kuwabembeleza sio kipindi kile cha mwanzo ambapo msanii alilazimika kujipendekeza kwa ruge kwanza!hongera sana sugu matunda yameanza kuonekana,kesho tutawasikia uswahilini matola nao wanahojiwa na dj fetty!haya ndio mapinduzi walijisahau sana hawa redio mawingu.
 
Sugu keshawaambia acheni kuslikiliza hiyo radio.... mbona mnaendelea kusikiliza ..????!! hehehe! kweli clouds kisima ... utakimbia maji yakikatika utarudi tu...

Umeona eeeh
 
Du, kumbe SOS BIZO bado yupo kwenye fani!
Ni mkongwe sana kwenye gemu huyu dogo!...sijui mafanikio yake yakoje!

Purukushani zako Utaumia,
Sisi twajilia, kivyetu vyetu,
Ngoma hii usicheze, kipekupeku,
Itabidi uvae buti, juu uendane na suti,
Katika purukushani usiweze kupata shoti,
Wapenda, pendapenda upate chups,
We tenda, tendatenda upate nuksi,
Mimi si mtusi, mimi ni mhutu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom