habari zenu?
poleni na majukumu.
najaribu kukumbuka shule tulizopitia katika mfumo huu wa kitanzania wa kufuta ujinga.sasa km na ww ulipitia hilo chama hebu tukumbushane mazuri na mabaya ya iliyokuwa Mazengo Sec School.
Cheers na karibu
Yunus, mzee wa 'the himalayas','the hullabaloos'. Smart man Malima, Mzungu Peter na radio yake ya kuamshia mabwenini,akina Beda, mzee Muna etc. Naamini enzi za Mzee Mkoba ndio the best baada ya kutaifishwa shule toka Alliance School.