malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,719
- 4,305
Wakuu mfuko wangu unaniruhusu kununua Mazda CX5 yakuanzia mwaka 2014 kushuka chini...msaada wenu nichukue ya specification zipi kuanzia engine,rangi nakila kitu
Naagiza mwenyewe sitaki kuchukua yamkononi kwa mbongo yoyoteNjoo nkupe yangu nyeusi no EF kwa 30m engine diesel mpyaaa
0659756647 calls/whatsapp