Mazda CX 5 inanifilisi!

Mazda CX 5 inanifilisi!

Kuna gari nyingine ukiwa nazo lazima uwe na gari mchepuko, hiyo itakusaidia kutopigwa bei ya spare kwa 7bu utakuwa na muda mwingi hata kuagiza ikihitajika. Bongo jinsi hiyo hiyo taa uliyoambiwa 1.5m unaweza ingia mtaa 3 ukaambiwa 800k uka bargain ukauziwa kwa 600k au 650k. Halafu hiyo ya kusema eti service costs 700k inafikirisha sana
 
Sio

Kweli taa ni TSH 900,000 ... TU nimeshanunua niliagiza Nairobi MTAA WA kinyariga
Pole sana ongeeni na watu,Mimi taa ya Gari Hilux zilipasuka baada ya kugongwa nikaambiwa ni laki 2 na 80,nikaenda kwa jamaa kutafuta used kumbe wanauza cover nikachukua 2. Zote kwa alfu 40 yaani @20,000.
Nilimkabidhi mgeni gari ilikuwa na shida kuvuja oil ya sterling akawa anajaza Kila wakati ikadondokea kwenye alternator ikafa nikaambiwa ni laki 7 nikaongea na jamaa yangu fundi ananichomolea kwenye gari bovu nikampa laki na nusu pamoja na ufundi tena nikampa awamu 2.
Ukitaka spea usikurupuke ongea na mafundi.
 
Back
Top Bottom