Mayweather vs Maidana 2

Mayweather vs Maidana 2

Issue sio chamoto br isue ni title

Ya ni kweli ila myweather amepata challange ya kutosha pambano lilikuwa 50-50 tofauti na mabondia wengi aliokutana nao aliwashinda kiurahisi.

Ndio hapo pamoja na our favourite moneyweather kubakisha mapambano mawili, anaweza asimalize kwa historia. Pambano la leo lilikuwa gumu kwake. Next time atadundwa asipokuwa muangalifu.

Na majigambo yake kama ana undugu na mutashobya, mweeh
[quote name="lolowapi" post=10593427]Myweather ameshinda ila cha moto kakiona.

Labda kwa kung'wata kidole. Jamaa kachukua mpunga wake wa dola milioni thelathini takribani bilioni arobaini na sita kwa fedha za kitanzania kiulaini.

Kabakisha mapambano mawili kwenye mkataba wake kabla ya kustaafu, kuna uwezakano kabisa yakawa mapambano mawili ambayo dunia nzima inasubiria na kale 'kabushuti' ambaye naye anataka kustaafu ngumi akawe mkuu wa nchi yake. Inasemekana Moneywether 'TBE' atalamba mpunga wa dola milioni 130 ![/QUOTE]

Asante BAK!
Kama vile pambano hili nilikuwa naangalia live kupitia JF! Naona kama vile Mayweather kasi yake ya kurusha masumbwi imepungua sana. Hata ule mpambano kwa kwanza Vs Maidana japo pia alishinda, lakini hakufanya vizuri.

Last edited by a moderator:
• Thanks
Reactions: BAK
my views........pacman cant stand to maidana............then kwa money maker floyd sidhani.....labda mim cjui ngumi aiseeh.......coz niliona pambano la pacman last year alivyodundwa mpaka kapasuliwa na jamaa gan yule nimemsahau......so pacman simpatii credit kwa yeyote kati ya hao wawili hapo juu

standing to be corrected

Ndio hapo pamoja na our favourite moneyweather kubakisha mapambano mawili, anaweza asimalize kwa historia. Pambano la leo lilikuwa gumu kwake. Next time atadundwa asipokuwa muangalifu.

Na majigambo yake kama ana undugu na mutashobya, mweeh

Labda kwa kung'wata kidole. Jamaa kachukua mpunga wake wa dola milioni thelathini takribani bilioni arobaini na sita kwa fedha za kitanzania kiulaini.

Kabakisha mapambano mawili kwenye mkataba wake kabla ya kustaafu, kuna uwezakano kabisa yakawa mapambano mawili ambayo dunia nzima inasubiria na kale 'kabushuti' ambaye naye anataka kustaafu ngumi akawe mkuu wa nchi yake. Inasemekana Moneywether 'TBE' atalamba mpunga wa dola milioni 130 !
[/QUOTE]
Yeah, atapigana na Manu packiao may 2015 na baadae atamaliza na Amir Khan...

my views........pacman cant stand to maidana............then kwa money maker floyd sidhani.....labda mim cjui ngumi aiseeh.......coz niliona pambano la pacman last year alivyodundwa mpaka kapasuliwa na jamaa gan yule nimemsahau......so pacman simpatii credit kwa yeyote kati ya hao wawili hapo juu

standing to be corrected
Kwa hiyo unataka kuniambia Pack man ni cha mtoto kwa maidana?

Hapo utakuwa umechemsha, Packman ni noma kwenye uzito huu. Ila Money man ni habari nyingine

Kwa hiyo unataka kuniambia Pack man ni cha mtoto kwa maidana?

Hapo utakuwa umechemsha, Packman ni noma kwenye uzito huu. Ila Money man ni habari nyingine

hahaha maidana nae sio cha mtoto ebu chek difference n point 4 tuu against the money maker unbeaten boy......so huyo pacman ajipange tuu na yeye

Karibu sana Mkuu 😛oa:

Asante BAK!
Kama vile pambano hili nilikuwa naangalia live kupitia JF! Naona kama vile Mayweather kasi yake ya kurusha masumbwi imepungua sana. Hata ule mpambano kwa kwanza Vs Maidana japo pia alishinda, lakini hakufanya vizuri.

I can't wait too, hopefully mpambano huu wa kuvunja rekodi kwenye ngawira utatokea 2015.

its gonna be the biggest payday in the history of sports

with mayweather defence and pacman speed.. its gonna be Armageddon!!

wanasema it could be up to 300M dollars match up

cant wait:A S-eek:

Hii ya leo Maidana angeshinda sema tu haikuwa bahati yake.

Back
Top Bottom