Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Shukran kwa updates bro. Niko kazini na namiss huu mtanage mazee!
mayweather wins again....
the winner is MAIDANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.....
kenge TV ya wapithe winner is MAIDANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.....
Myweather ameshinda ila cha moto kakiona.
Labda kwa kung'wata kidole. Jamaa kachukua mpunga wake wa dola milioni thelathini takribani bilioni arobaini na sita kwa fedha za kitanzania kiulaini.
Kabakisha mapambano mawili kwenye mkataba wake kabla ya kustaafu, kuna uwezakano kabisa yakawa mapambano mawili ambayo dunia nzima inasubiria na kale 'kabushuti' ambaye naye anataka kustaafu ngumi akawe mkuu wa nchi yake. Inasemekana Moneywether 'TBE' atalamba mpunga wa dola milioni 130 !
Karibu Mkuu, ndio utamu wa JF inakuweka up to date na mambo mbali mbali yanayotokea katika kila pembe ya dunia ikiwemo michezo.
Myweather ameshinda ila cha moto kakiona.