Mayweather na Diamond hamna lolote

Mayweather na Diamond hamna lolote

Mzuqa!

Wanoko wamethibitisha Floyd Mayweather hana lolote. Kumbe yale magari, saa za kifahari na pesa anazotutishia Instagram sana sana siyo zake makampuni yanampa aweze kuwapa promo na kuwatangazia biashara. Yani watu sasa hivi tumepata amani mioyo yetu imeanza kutulia.

Pia Wanoko wanaamini Diamond naye ni mbwembwe tu ni kama floyd mayweather tu ila bado haijathibitishwa tunafuatilia na tunaomba tu iwe hivyo.

Millard Ayo naye Wanoko wanadai anashuka kwa kasi hayupo kama zamani.

Lazima wote tuwe sawa tu tukilala tuwe na amani na faraja
Unateseka na nini?
 
Huo muda unaopoteza, unakutosha na wewe kutafuta hayo makampuni wakupe na wewe promo.
 
Mzuqa!

Wanoko wamethibitisha Floyd Mayweather hana lolote. Kumbe yale magari, saa za kifahari na pesa anazotutishia Instagram sana sana siyo zake makampuni yanampa aweze kuwapa promo na kuwatangazia biashara. Yani watu sasa hivi tumepata amani mioyo yetu imeanza kutulia.

Pia Wanoko wanaamini Diamond naye ni mbwembwe tu ni kama floyd mayweather tu ila bado haijathibitishwa tunafuatilia na tunaomba tu iwe hivyo.

Millard Ayo naye Wanoko wanadai anashuka kwa kasi hayupo kama zamani.

Lazima wote tuwe sawa tu tukilala tuwe na amani na faraja
Vivu mbaya, Vivu ni ugonjwa, pambana na hali yako, acha kuchunguza kwa ubaya wale waliofanikiwa

kuwa na wivu wa maendeleo, waige waliofanikiwa ili na wewe upate kupiga hatua katika maisha yako..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom