The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,478
Mzuqa!
Wanoko wamethibitisha Floyd Mayweather hana lolote. Kumbe yale magari, saa za kifahari na pesa anazotutishia Instagram sana sana siyo zake makampuni yanampa aweze kuwapa promo na kuwatangazia biashara. Yani watu sasa hivi tumepata amani mioyo yetu imeanza kutulia.
Pia Wanoko wanaamini Diamond naye ni mbwembwe tu ni kama floyd mayweather tu ila bado haijathibitishwa tunafuatilia na tunaomba tu iwe hivyo.
Millard Ayo naye Wanoko wanadai anashuka kwa kasi hayupo kama zamani.
Lazima wote tuwe sawa tu tukilala tuwe na amani na faraja