Mayweather amwaga dola milioni 1 mbele ya hasimu wake McGregor

Hivi unajua million dollars zinafananaje?

Hata mimi na mashaka kama kweli hizo hela zinafika dollar million moja!

Mkuu dollar million 1 ni sawa sawa na dollar 100 ziwe elfu kumi, sasa hizo alizorusha hapo sidhani kama idadi yake inafika hata 3000.

Million dollar ni mabunda ya pesa mzee!
 
Huyu Mayweather si alistaafu huyu?

Au ndiyo kama wale wageni wanaaga kwa haraka, lakini akisikia harufu ya chakula kinapikwa anaahirisha ahirisha kwanza mpaka ale?
Hahaha... Eti kama mgeni

Mkuu Hii game mimi nna Mashaka tayari iko fixed.

Huyu jamaa mayweather hata kabla hajastaafu ilikuwa ni vigumu sana kumshawishi hadi apigane na mtu wa caliber ya Conor, lakini Leo hii ameshastaafu kabisa halafu eti ghafla tu ameamua kurudi ulingoni!? Hapana hapo tayari mshindi anajulikana.
 
Millard ayo nacho kiwe chanzo cha habari...??

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Hata kam The Money Team, ... Ila hii chai tena haina sukari

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
64d02a9b8a00107fa5cafba4fa0f4f32.jpg


Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Hiyo free mason ulivyoiandika sasa
 
Mbona tupesa twenyewe nnaona $1 zote hasa kama ndiyo hizo hadi kufikia $1M staging zingeletwa na scania

Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
 
Hahaha... Eti kama mgeni

Mkuu Hii game mimi nna Mashaka tayari iko fixed.

Huyu jamaa mayweather hata kabla hajastaafu ilikuwa ni vigumu sana kumshawishi hadi apigane na mtu wa caliber ya Conor, lakini Leo hii ameshastaafu kabisa halafu eti ghafla tu ameamua kurudi ulingoni!? Hapana hapo tayari mshindi anajulikana.
amefulia ndio maana amerudi ulingoni
 
Hivi hizo hela wanazorushaga kwa strippers huwa ni hela kweli?

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app

Ni ela za kweli ndio ila uwa za dolla 1 mi pia uwa nazirusha kwenye sherehe unaenda bank wanakupa dola moja moja ata wasanii wakubwa marekani ndio wanavyofanya pia
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom