Mayweather amwaga dola milioni 1 mbele ya hasimu wake McGregor

Akishinda hili pambano nadhani atakuwa anamfukuzia Jay Z,lkn Mc Gregory nae miezi kadhaa iliyopita alitembelewa na Christian Ronaldo maskani kwake aka m promise Ronaldo kwamba mwakani tutakuwa wote huko area za Forbes tukishindana mkwanja sasa naona Mc Gregory hapa ndipo anapotaka kuanzia ili atimize ahadi yake,watch out Mayweather
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom