MayPac Official Stats

flamini

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
483
474
mayweaher.jpg
 
manny alishinda ile game. ninachompendea manny ni kwama hizo $120 mil alizopata, analisha sana masikini kule ufilipino, anatoa sana misaada kwa wafilipino wenzie, na ni mcha Mungu, tofauti na huyo mmarekani mweusi aliyechukua clear picture of african americans, wanapenda sana starehe na kujionyesha, analalia pesa, ananunua magari ambayo hata hayapandi, anafanya kufuru zote na mademu kwa sanaaa, yaani kichwa cha african american huwezi fikiri kilitoka africa. ndio maana wazungu wanawadharau sana kwasababu kichwani huwa hakuna akili.
 
Back
Top Bottom