Mayonnaise ni nini?

Ni mchanganyiko wa mafuta, vineger au limao, kiini cha yai (egg york).....then kuna utaalamu wake wa kuchanganya huku unapiga...ukikosea hupati matokeo chanya.

Ikiwa tayari waweza kuongeza vikolombwezo unavyopenda, kama chill sauce, tomato sauce n.k.

Na huwa inatakiwa kutumika salad oil au olive oil...ila kibongobongo uchakachuaji muhimu, ukizingatia hayo mafuta ni ghali watu hutumia hata mafuta ya Wanyama.
 
Are u a chef?
 
Samahani wakuu,

Hivi ile mayonaiz inatengenezwa kutokana na kitu gani je ina umuhimu wowote kula kwa kuweka kwenye chips? Mimi siipendi hata kuiona.
Vinegar,mustard,egg yolk,olive oil,au mafuta ya alizeti,salt and pepper,you can put in some lemon juice kwa test at the end.Lakini unapokuw unachanganya,lazima unaanza na vyote isipokuwa mafuta una mimina kidogokidogo huku unachapa,eventually itakuwa na consistence ya ule uzito uzito,unaweza pia ukatumia mayai mazima na eggyolk.Hii ni mother sauce,from it kuna derivations nyingi kama Tartar,coctail,1000 island,curry mayo na kadhalika,kuna jamii hyo hyo ambayo inachanganywa kwenye water bath au bain marie,inaitwa hollandaise,nayo ni mother sauce,tofauti ni kuwa hii inachanganywa na siagi clariffied yaani unaiyeyesha hadi inakuwa clear,then egg yolks lakini hii sasa wakati unachangaya kwenye bakuli chini kukiwa na maji ya vugu vugu!
 
Raha ya mkate upake blue band then jam halafu mwagia *mayonnaise* kama unatengeneza sandwich vilee
 
Back
Top Bottom