Cha mayele Hana magoli mengi ya penatiKwaiyo kiatu cha nan mayele au saidoo
We ni andazi bandari iliyouzwa labda ya bibi yako!Bandari imeuzwa huko jamani,tujadili huu ujinga kwa muda then tujikite kwenye mambo ya msingi,ohoooo.
Unaweza ukatuonesha hicho kiatu tafadhali?? kule hakunaga kiatu kuna acknowldgement tu.Mayere ana kiatu Cha mfungaji bora Afrika hicho Cha Tanzania bora tu awachie wachezsji wa Simba na Namungo wakigimbanie
Yanga Sasa inatakiwa tufukirie mambo makubwa makubwa