Kilichobaki sasa ni kupangiwa muda wa kulala na wake zetu pamoja na kupewa maelekezo ya staili za kudinyana.Yaani tunakoelekea sasa bado kidogo tutapangiwa hata muda na namna ya kujiposition tuwapo maliwatoni.
Nchi ya kipuuzi sana hii.
Nchi ya kifalme ujinga mtupuKatika video inayozunguka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, inamuonyesha mwandishi wa habari nguli ambaye pia ni mwanasheria na mwanaJF ndugu Pascal Mayalla , akidai kuwa alilazimishwa kukiri kosa alipoitwa na JAB kujitetea kwanini ametoa maoni yasiyopendwa na utawala kuhusu tukio moja la kisiasa lililotokea hivi karibuni.
View attachment 3552709
Katika video hiyo, ambayo Mayalla ameonekana amevaa miwani myeusi huku akihojiwa na mwandishi nguli wa DW, Sudi Mnede, ameonekana wazi kukerwa na wito alioitwa na mamlaka kujitetea kwanini ametoa maoni ya kuudhi watawala. Ukimwangalia usoni na jinsi anavyojibu utaona wazi kuwa hakupendezwa na kitendo cha kulazimishwa kukiri kosa kinyume cha sheria.
Soma
Kufuatia kukamiwa kwa jukwaa la JF na utawala, nimeshindwa kuambatanisha video hiyo kwani kila nikiweka inagoma kupakilika. Tafadhali kama kuna mods au mtu yeyote anayeweza kunisaidia kuweka video hiyo nitashukuru sana.
Nawasilisha.
Tawala dharimu ndo huwa na tabia hizo kupangiwa mpka namna ya kufikiri na kuzungumza wanataka wasikie mapambio ya kusifu tu juu yao kinyume na hapo mamlaka zao zinakushukia kama kipangaHali imeshaakuwa mbaya kiasi tunapangiwa hata namna ya kufikiri na kutoa maoni.
video ni ya kwake na maelezo ni ya kwake ndio maana nasema undani wa kila kitu yeye ndio anajua.Kwani hiyo video sio yake mkuu? Hayo aliyoongea hapo ndiyo majibu sahihi. Alilazimishwa kukiri kosa na utawala wa kidikteta wa Samuya.
That is good , uandishi ni font mkuu font zinazoachana HIVYo zinasumbua macho.Sawa na pole mkuu. Ngoja nibadilishe font.
Tawala zote ni mbovu hii nchi haijawahi kuwa serious kwa ajili ya hakiNchi hii ina utawala wa ovyo sana haijawahi kutokea.
Hivi ni kwanini TANU (na baadaye CCM) waliwaondoa wakoloni weupe kutoka nchi hii? Ni afadhali hata wakoloni wangekuwepo hadi leo nchi hii ingekuwa na maendeleo makubwa sana na kusingekuwa na uonevu.Tawala zote ni mbovu hii nchi haijawahi kuwa serious kwa ajili ya haki
Hawa watu ni wapumbavu sana.Tawala dharimu ndo huwa na tabia hizo kupangiwa mpka namna ya kufikiri na kuzungumza wanataka wasikie mapambio ya kusifu tu juu yao kinyume na hapo mamlaka zao zinakushukia kama kipanga
Mzee kapigwa pin na wakoloni weusi kama walivyompiga Nyerere wakati anapigania uhuru lakini baada ya kuondoka duniani nchi imegeuzwa kuwa koloni. Hutakiwa kuwahoji wala kuwakosoa. Ukijaribu unapotezwa.So mzee wangu Mayala kimemlamba
Wabheja sana mwanawane😀Sawa mkuu; tupo pamoja