Mayalla Paschal bado unaamini kuwa Paulo Makonda bado ni Presidential material?

Kwanza pole, pili
Asante nitauzingatia ushauri wako, maneno engine na mimi lazima nitafute kamusi, yaani "Pasco wa jf amekuwa too subservient and submissive kwa kubend this much low!", kisa ni bandiko hili
P.
Bashiru Ally na Humphrey Polepole walipata nyadhifa walizonazo bila kulamba viatu. Simama kama wewe usibadilike kuwa vuguvugu watakuona tu.
 
Mkuu Mbase, with due respect, Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas.
Mtu kuwa presidential material ni possession of presidential virtues, ukiisha kuwa, you are!.

Hivyo bandiko hili
bado liko valid

P
Wacha kujidhalilisha wewe njaa (mayalla)
 
RAISI AJAE MUNGU NDO ANAJUA NI YUPI NA WA KABILA GANI
IN MEAN TIME TUENDELEE KUPIGA KAZI NA KUSUPPORT MAENDELEO YA NCHI YETU KWA KUVUMILIANA TOFAUTI ZA KI ITIKADIAMBAZO ZINALETA TIJA KATIKA KUTATUA KERO ZA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA. MENGINEO NI NGONJERA NA HADITHI ZA KUSADIKIKA.

You are happy
because your attitude
towards everything
is always right.

Attitude is always important.

Winning is not a secret
that belongs to a few.

The winner studies
the situation.
He makes himself
ready for any challenge.

He stays calm.
He remains strong.
He will never let anyone
destroy him on his way.

Winning is something
that we can learn.
There is no short cut to it.
Work hard and smart.
Live with a perfect aim.
Dr. Antony Theodore
 
Mkuu unategemea aseme hafai wakati kila siku ananyoosha kidole juu nae aonekane? Hakuna kitu kibaya kama kujua kuna mtu akaisifiwa anatoa hela na wewe unataka hela, utasifia hata akijamba...Mayala ukiacha ukabila nae anataka uheshimiwa.
 
Mkuu Mayalla sidhani kama First Lady Eleanor Roosevelt alimaanisha kama ulivyoijibu hoja yangu. Kuna kitu watu walimjadili Donald Trump if he possesses Temperament to be president sasa kaingia mwaka wa tatu tunashuhudia vioja vingi. Kwa mantiki yako waliojadili kuhusu temperament ya Trump walikua ni ordinary mind.

Leta hoja za maana mkuu siyo ku miss use quote ya first Lady
 
Halafu na hili la kuwa tunashinda jukwaani kuwajadili viongozi ni mapungufu ya kimaadili na ni utovu wa adabu kiwango cha dreamliner!

Kila binadamu ana mapungufu yake, ndiyo maana aliyemteua anaona anafaa kuendelea kuhudumu katika nafasi hiyo.

Ndiyo maana wengine tuliochoshwa na mada za hivi, tulishaweka jibu la jumlajumla kwamba, kila anayeleta mada za kinyume nyume kama hii, basi ni muathirika wa biashara haramu zilizoanzishiwa vita na Paulo ama mtu huyo ni kandarasi kanjanja wanaorukishwa kichurachura kama wagambo kwa kushindwa kwao kuwajibika ama waliozoea kujipatia vipato vya 'mission town', ambavyo sasa hivi vimebhuma.
Sasa mtu kama wew priz team nani anakuchulia seriously
 
Mkuu Mbase, with due respect, Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas.
Mtu kuwa presidential material ni possession of presidential virtues, ukiisha kuwa, you are!.

Hivyo bandiko hili
bado liko valid

P
Ndugu,hivi hii "Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas" ni CETERIS PERIBUS au kuna variables?
 
Ngoja nianze kwanza na dikishenari kutafuta neno
CETERIS PERIBUS, ndipo niendelee.
Ukiniona kimya ujue dikishenari yangu nimeimisplace
P
 
Watu wengine wana nukuu bila ya kujua where Quatation was originated from.. 😊
Nipo 100% Mayalla alijua wapi ilikotika labda kapitiwa tu. Na nimemshangaa kuniambia nilimuuliza huyu mama alikufa mwaka 1962 miaka mitatu kabla sijazaliwa. Lengo lake lilikua kuniweka chini lakini bahati mbaya huyo mwanzilishi wa hii quote nimemfuatilia sana sababu alikua na kipindi cha TV kule kwao na alifanya mahojiano na Mwl baada ya TANU kupata viti vingi na hivyo Mwl kuwa kiongozi mtarajiwa. Mimi muumini wa show yake iliitwa Prospects of Mankind" television show . Aliirekodi Mwezi March Mwaka 1960. Nyerere akitegemewa kuwa Waziri Mkuu. Conversation with Eleanor Roosevelt
 
Mkuu Mbase, with due respect, Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas.
Mtu kuwa presidential material ni possession of presidential virtues, ukiisha kuwa, you are!.

Hivyo bandiko hili
bado liko valid

P
Sasa anko mayalla wewe kuzungumzia makonda Rais si no simple mind discuss people

Hizo ni double standard
 
Nipo 100% Mayalla alijua wapi ilikotika labda kapitiwa tu. Na nimemshangaa kuniambia nilimuuliza huyu mama alikufa mwaka 1962 miaka mitatu kabla sijazaliwa. Lengo lake lilikua kuniweka chini lakini bahati mbaya huyo mwanzilishi wa hii quote nimemfuatilia sana sababu alikua na kipindi cha TV kule kwao na alifanya mahojiano na Mwl baada ya TANU kupata viti vingi na hivyo Mwl kuwa kiongozi mtarajiwa. Mimi muumini wa show yake iliitwa Prospects of Mankind" television show . Aliirekodi Mwezi March Mwaka 1960. Nyerere akitegemewa kuwa Waziri Mkuu. Conversation with Eleanor Roosevelt
Sisi binadamu ni watu wa ajabu sana, huwezi amini kuna watu hawamjui Obama ni rais wa wapi, itakuwa fasti ledi?. Kipindi cha Mkapa nilipita mahali very remotely, wanajua Nyerere bado ni rais!. Asante kwa taarifa hii, please share.
P
 
Sasa mtu kama wew priz team nani anakuchulia seriously
Jamani tufike mahali, tuelezwe bayana ubaya wa huyu kiongozi.

Vinginevyo tunaona ni husda tu na ni dua la kuku lisilokuwa na madhara yoyote kwa mwewe.

Hakuna cha priz team wala nini hapo. Watu tunataka mantiki ya neno.
 
Mkuu Mbase, with due respect, Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas.
Mtu kuwa presidential material ni possession of presidential virtues, ukiisha kuwa, you are!.

Hivyo bandiko hili
bado liko valid

P
Mr njaa njaa habari yako
 
Nipo 100% Mayalla alijua wapi ilikotika labda kapitiwa tu. Na nimemshangaa kuniambia nilimuuliza huyu mama alikufa mwaka 1962 miaka mitatu kabla sijazaliwa. Lengo lake lilikua kuniweka chini lakini bahati mbaya huyo mwanzilishi wa hii quote nimemfuatilia sana sababu alikua na kipindi cha TV kule kwao na alifanya mahojiano na Mwl baada ya TANU kupata viti vingi na hivyo Mwl kuwa kiongozi mtarajiwa. Mimi muumini wa show yake iliitwa Prospects of Mankind" television show . Aliirekodi Mwezi March Mwaka 1960. Nyerere akitegemewa kuwa Waziri Mkuu. Conversation with Eleanor Roosevelt
Hiyo clip kuna jamaa kanitumia kwenye WhatsApp..,
 
Back
Top Bottom