Mayalla Paschal bado unaamini kuwa Paulo Makonda bado ni Presidential material?

Nitangulize kwa kusema kuna baadhi ya mambo ayafanyayo Paulo Makonda nakubaliana nayo. Baadhi ni vita dhidi ya mihadarati na kusaidia vijana wasiojiweza na baadhi ya maamuzi ya kuwasaidia wenye umasikini.

Huko nyuma kuna thread iliyoletwa na mwanahabari na Broadcaster Nguli Ndugu yangu Paskali Mayalla kuhusu huyu msukuma mwenzake Paulo Makonda.

Kwa sasa ni miaka minne imepita na ameshaleta vituko vingi zaidi katika serikali ya msukuma mwenzake Pombe.

Swali kwako Mayalla, je Makonda bado ni Presidential Material?
Hata baada ya kuzuiliwa kuingia Marekani, Kijana bado ni vile vile, na hili zuio la kuingia Marekani ni upepo tuu na utapita.
P
 
Mkuu Mbase, with due respect, Simple mind, discus people, Ordinary mind discus events na Great Mind discus ideas.
Mtu kuwa presidential material ni possession of presidential virtues, ukiisha kuwa, you are!.

Hivyo bandiko hili
bado liko valid

P
Kwa vile mnaongea lugha moja ni vigumu tupate ukweli wako.
 
Hata baada ya kuzuiliwa kuingia Marekani, Kijana bado ni vile vile, na hili zuio la kuingia Marekani ni upepo tuu na utapita.
P
Unajua mimi kutoa mapenzi yako kwa Makonda sitaweza. Ila tatizo ulilonalo ni kwamba hupendi jina lako lionekane unampinga japo nina uhakika unachokiandika hukiamini. Binafsi sikulaumu maana Dodoma hatukwenda wote na sijui uliambiwa nini maana tangu urudi hujasema chochote.
Kuna kitu kinanisukuma nikuite "Coward" lakini nafsi inanizuia kwa mazingira ya sasa ya Tanzania ni bora kuwa COWARD ni KUSIFU brigade kuliko kuwa JASIRI uishie kama Gwanda ama ukiwa na bahati uishie kama KABENDERA. Mungu akusaidie fahamu zako zirudi huko mbele ya safari ili uitendee haki Tasnia yako ya Uandishi na Uanasheria
 
Amen. Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
P
 
Kaz ya unafki Ni ngumu Sana ndio maana maisha ya waafrica Kila leo Yana baki Yale Yale na usimwamin hata Mara moja mswahili Mana anaongea hili akifika kule anasema hili.

Ndivyo tulivyo kwahyo katika nafas mtu huleta hili wakat wa kule huongea lile

Ila ukweli utabaki kuwa kile ulichokiongea dodoma kitabaki kuwa Siri yako tu Ila simamia Jambo lilo sahihi kwako

kilicho akilini kitumie
 
Pascal Mayalla
kwanini umeifukua hii thread wakati mlishaijadili tokea mwezi novemba mwaka uliopita?
kulikuwa kuna haja gani, kwanini usingeikaushia hii thread ili ipite kimya kimya?
kwa utashi wangu hapa, naona kama unamchekea machoni moyoni unamkataa.
tayari nmeshalitambua lengo lako, ila unaogopa kuwa muwazi kwasababu anakufahamu na unaogopa kushughulikiwa.
hahaaa
 
Amen.
P
wewe Pascal Mayalla naomba unijibu swali langu naona unaishia kugonga like tu huku haujibu swali langu.
swali nililokuuliza liko post #73
 
Unaweza usiamini hata kujua huyu First Lady Eleanor Roosevelt, simjui!, kumbe na yeye ulimuuliza swali kama hili akajibu hoja yako, tusaidie kutufahamisha ulimuuliza nini akajibuje ili na akina sisi tuanze kujibu kama First Lady Eleanor Roosevelt.

Possession ni kitu mtu anacho acquire, akiisha kuwa nacho anacho.
P
Mkuu naomba kufahamishwa kwa nia njema tu,

Sifa kuu ya kiongozi Bora ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua mimi kutoa mapenzi yako kwa Makonda sitaweza. Ila tatizo ulilonalo ni kwamba hupendi jina lako lionekane unampinga japo nina uhakika unachokiandika hukiamini. Binafsi sikulaumu maana Dodoma hatukwenda wote na sijui uliambiwa nini maana tangu urudi hujasema chochote.
Kuna kitu kinanisukuma nikuite "Coward" lakini nafsi inanizuia kwa mazingira ya sasa ya Tanzania ni bora kuwa COWARD ni KUSIFU brigade kuliko kuwa JASIRI uishie kama Gwanda ama ukiwa na bahati uishie kama KABENDERA. Mungu akusaidie fahamu zako zirudi huko mbele ya safari ili uitendee haki Tasnia yako ya Uandishi na Uanasheria
Braza Paschal tangu ametoka dodoma kila nikisoma nyuzi au comment zake lazma nitende dhambi ya kutukana matusi kimoyo moyo kuepusha hili najitahidi kutokumfuatilia sana kwa sasa. The dude is pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom