Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 380
- 534
Wao ndio wanakaona kasimbaKama ni kasimba kadogo kasingewatikisa wakatikisika mpaka wakapoteana kiasi hiki😂... Dharau nyingine humdhalilisha mtoaji na si mlengwa
Ana hoja asikilizwe!
'Mama' anakuwa mkali sana anapotokea anayehatalisha 'UTUKUFU' wake!Kweli amwachie ili atimize kauli mbiu yetu"KAZI na utu ,tunasonga mbele"!!
Kanawatoa jasho vibaya sanaWao ndio wanakaona kasimba
huyu jamaa huwa anaconfidence kubwa mnoo nakumbuka sku 1 alimuoji magufuli umetoa wap mamlaka ya kufanya hivi ni kifungu gani cha katiba umetumia??.......jambo linalonitatizaga siku zote ni kuwa hivi huyu jamaa ndo Pascal Mayalla wa humu au ni watu wa2 tofauti????Utampenda Mayala mwandishi wa habari na mwana CCM asiye mnafiki.
Hata mdude mlisema hivi hivi hayaKama ni kasimba kadogo kasingewatikisa wakatikisika mpaka wakapoteana kiasi hiki😂... Dharau nyingine humdhalilisha mtoaji na si mlengwa
Kama ya kwako na mshanaMawani😂😂😂
'Mama' anakuwa mkali sana anapotokea anayehatalisha 'UTUKUFU' wake!
Utampenda Mayala mwandishi wa habari na mwana CCM asiye mnafiki.
Dah😂Kama ya kwako na mshana
Naona kaka p akili zimeanza kumrudia.Utampenda Mayala mwandishi wa habari na mwana CCM asiye mnafiki.