May be huyu binti alikuwa ni mkarimu?

May be huyu binti alikuwa ni mkarimu?

Wakati natoka Zenji leo kwenye boti nilikaa na mdada mmoja,mara ya kwanza ni kama anajishuku kunisemesha mi namcheki tu,tulipokaa vizuri akatoa noti ya sh 2000/= imeungua moto upande,akaniambia,'kaka nimeshikishwa hii noti bila kujua,nawezaje kuitoa?

Nikamwambia nenda kanunue chochote humu ndani watapokea tu,basi akarudi na chipsi zile zilizokaushwa na pili pili kibao.

Akaniambia kaka karibu tule ila pili pili nyingi sijui kama utaweza,unajua sometimes mtu akikukaribisha basi hata kuonja usimvunje moja,nikaonja.

Dah ndo ikawa kuonja onja,mara "kaka sijui hi chipsi itaishaje furaha yangu tule iishe maana ina pilipili"

Tukaendelea mdogo mdogo,mara "unakunywa soda gani siyo vizuri maana naona yenyewe kama haiendi" dah sasa hiyo lafudhi,aliporudi nikamwuliza we kabila gani,akaniambia mi mnyamwezi kwetu Ulyankulu Tabora.

Mara kasinzia gafla kaniwekea mkono,nilisisimka mwili na ninavyopenda black beauties,'memory ikanijia nikachukua ticket ya Azam nikaigeuza nikasoma makosa kwa wasafiri nikasoma namba 10 "(kufanya mapenzi fidia ni sh 50,000)"

Nikasimama,mara akagutuka "kaka sijui ndugu zangu watanipokea kweli sina uhakika" nikamwambia usijali wanaweza kwepo tu.

Sasa wakati Wa kutoka tukajikuta tumebaki wa mwisho.


Wakuu inaonekana Mnyamwezi ni wife material wanajali wanaume,wenye uzoefu please!
Uzi unasoma wanyakyusa, ndani wanyamwezi. Haya
 
Sijawahi kusikia kama vipi nionyeshe ukarimu wenu na nye
Mh wewe deal na mtoto wa ulyankhulu mimi siko mkarimu km huyo aisee na soda na chips mara pilipili mara kaka na hiyo ni day one huoni ukimuweka ndani utabebwa mgongoni na kukandwa pumbu, bahati hiyo shauri yako
 
ktk safari mi huwa simwamini mtu coz mara nyingi wale wanaowaibia watu ndo wanapata chance za kuiba kwa kukaribisha msosi kumbe kunavitu vimewekwa kwenye chakula au vitu vya kulewesha.unapekenyuliwa mpaka bac, naogopa sana coz rafiki yangu alipewa pipi akazma akazinduka cku ya tatu hospital hana hata kitu,
so usipende kumridhisha mtu kwa kula kitu chake kwenye gari au sehemu yoyote ile
 
kwa hayo mambo wanyaki huwa ni wakalimu sana akikupenda lazima ule tu hata kwa lazima.
 
Mh wewe deal na mtoto wa ulyankhulu mimi siko mkarimu km huyo aisee na soda na chips mara pilipili mara kaka na hiyo ni day one huoni ukimuweka ndani utabebwa mgongoni na kukandwa pumbu, bahati hiyo shauri yako
Labda we utafanya zaidi ya hapo hata kudanganya,huyo hadanganyi nilimwona kama mshamba
 
Jitoe tu mhanga mkuu mpeleke ata hom kaa nae wiki au una wife
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom