Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 367
KabisaYou are frastrated too!
Mkuu siyo 10 people is here?😁10 people are here
For PRESIDENCYS a m i a s u l u h u h a s s a n
Waoo! one on the smartest ladies we have in JF.Makosa makubwa kabisa ya Dkt Samia
1: Baada ya kuapishwa kuanza vijembe vya kumsagia kunguni Mtangulizi wake (aliaminishwa hivyo na wale wahuni)
2: Kurushiwa mpira wa kugombea 2025 just few days baada ya msiba na yeye kuudaka (hapa walimtega ili waone ni namna gani wanaweza kumharibu ili akifika 2025 awe sifa zake za kugombea zimeharibika, na wamefanikiwa kwa 98%)
3: Kuamini uongozi wa Mtangulizi wake haukuwa mzuri kabisa (kumbuka na yeye alikuwa sehemu ya huo uongozi), hivyo kumfanya hata 2025 akinadi sera za awamu ya 5 (maana wahuni walimtengenezea slogan ya kazi iendelee ili akija 2025 akiitumia wamsute kwa kusema kazi gani iendelee wakati kuna ufisadi etc), so ni failure slogan hao wahuni walimuandalia
4: Kuamini kuwa waliokuwa wanafukuzwa kwenye teuzi na Mtangulizi wake walionewa (hapa walimtengenezea mazingira mabaya ili aje kujionea mwenyewe na uwe ushahidi wa serikali yake kushindwa
Sukuma gang wanajipangaAkili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.
Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.
Bara vs Kisiwani
Kike vs Kuume
Magufuli vs Kikwete
patamu hapa

Mitano ya Magu,HILI NALO MKALITAZAME.
Nawaagiza akina Kasimu na Kamanda Siro muende mkalitazame hili kwa makini tuone "tunakwenda vipi".
Tumeanza kusikia "vijikelele kelele" vya watu kutaka kunipora urais wangu, nawaagiza mwende mkanipiganie mama yenu.
Suala JENGINE nasikia huko mitandaoni, ooh mama kauza bandari, mama kauza bahari, mama kafanya vile mama kafanya hivi, HAYO YOTE MKAYATAZAME.
MKINIKUNA NITAWAKUNA.
Cc: NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo Dr. gwajima D MIN -meRabbon Nyani Ngabu min -me
angejua angestaafu mwakani kuliko kukaza nia wakati watu hawamkubali atakuja kupatwa na mshangao mataqajio yakiwa sio wanaomsifia wanamdanganya.Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.
Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.
Bara vs Kisiwani
Kike vs Kuume
Magufuli vs Kikwete
patamu hapa
wacha tuoneangejua angestaafu mwakani kuliko kukaza nia wakati watu hawamkubali atakuja kupatwa na mshangao mataqajio yakiwa sio wanaomsifia wanamdanganya.
Kina manyuzi mmeshaanza kumpanikisha maza wa watuAkili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.
Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.
Bara vs Kisiwani
Kike vs Kuume
Magufuli vs Kikwete
patamu hapa
Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.
Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.
Bara vs Kisiwani
Kike vs Kuume
Magufuli vs Kikwete
patamu hapa
Saa miamoja?