Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
Ni 8 bwana10 people are here
What about being "frustrated "?You are frastrated too!
Makosa makubwa kabisa ya Dkt SamiaAkili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.
Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.
Bara vs Kisiwani
Kike vs Kuume
Magufuli vs Kikwete
patamu hapa
Kuna Siri Sirini ambazo nyingi wooote hamjui, zombies wanawachezesha wanavyotaka wao zombie ukiitwa kushoto hauendi kulia inafuata kushoto ni zombie, zombie anabashiri kisichokua kweli, zombie anafikiria yasiyowahi kuwepo wala yasiyotarajiwa ni zombieNumber 1 total failure!
Ni furaha na amani tele...😊Frastated maana yake nini mkuu?
Kwenye kamusi sijaona hilo neno ndio maana nimeuliza mkuuNi furaha na amani tele...😊
typing errorFrastated maana yake nini mkuu?