Maximum job probation period! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maximum job probation period!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Bright Smart, Oct 31, 2011.

 1. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Wakuu naomba kujua kama kuna maximum probation period, na je mtu aliyekaa kwenye probation time zaidi ya miezi 20,job termination yake itakua sawa na yule aliekaa kwenye probation time for 6 months!!!
   
 2. a

  actus Senior Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok mkuu suala la probation kazini inabidi katika sehemu husika uliyo ajiliwa watakua wamekueleza ni kipindi gani utakua ktk probation.ieleweke kua hata kama kipindi utakachokua umeelezwa kua kimeisha hiyo haimaanishi wewe kua umemaliza probation period yako.yan sio kwamba unakua automatically confirmed,mpaka uwe umepata hiyo barua kukukomferm kua umemaliza probation period yako na kwa mameno ya kikazi wanasema kua wino umekauka.kwa kawaida probation si chini ya miezin sita
  sasa basi wanaweza kukuterminate or dismissed baada mfano wa miaka 2 na huku probation yako walisema miezi sita ila ilipopita miezi sita hukupewa barua.wewe unaweza kua umekaa unajua ooh hapa ushakua confirmed na ukafungua kesi aisee imekula kwako.yani the fact muda umepita wa probation sio kigezo cha ww kusema umepitishwa ni mpaka upewe barua
  angalizo.chukua barua zenu za kua mmeajiliwa after probation period,waajiri wanajua haya ndo maana wanafanya kuacha loop hole sehemu ya kuwabana coz wanaweza kukuterminate or dismiss with or without following procedure na wakasema you were under probation and that is as goog as interview
   
 3. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  okay!! nimekupata mkuu, ila vp inamaanisha kama job offer letter ilikua inasema probation ni miezi sita, baada ya kupita hiyo miezi sita muajiri hatakiwi kutoa notification yoyote kwa muajiriwa kwamba probation yake itakua extended kwa muda flan!!??, yaani kwamba mtu unaweza kukaa probation for three years without being informed the duration of your probation!!??, na je vp kama mtu amekaa under probation zaidi ya mwaka na hajawa confirmed anaruhusiwa kuchukua likizo!!??
   
 4. a

  actus Senior Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .oky.muajiri baada ya kukupa hiyo letter offer of employment na kusema probation ni miezi sita,hata hiyo miezi ikipita hamna suala la notification kua anaextend probation.yes uko sahihi kabisa mtu unaweza kukaa hata miaka 3 na zaidi bila kuelezwa kama umekua comfirmed ama lah.(yan hapa ndio huwa panaweaknesss ya sheria za ajira)
  kuhusu kuchukua likizo hata kama hujawa comfirmed ni haki yako na unapata all the entitlement kama mwajiliwa.
  ila kuna sehemu nyingine mfano mabenk unapotaka kukopa wanaweza kukuomba barua ya kuwa comfirmed kazini.wengine hawaiombi wanataka salary slip na barua kutoka kwa mwajili ikikutambulisha.
   
 5. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  okay nimekupata sawa sawa mkuu, sasa hii sheria ya kazi inaposema "the period of probation should be of reasonable length of not more than twelve months, having regard to factors such as the nature of the job, the standards required, the custom and practice in the sector na maelezo mengine yanayofuata" ni uyeyushaji tu!!!
   
 6. a

  actus Senior Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu the definition of what amount to reasonable time the law is silent on that.sawa wanasema reasonable length of not more than twelve months having regard to the factors such as the nature of the job brah brah brah kibao.yan hapo penye black ndo wanapoonesha kua in one way or another that reasonable time waliyosema inaweza kubadilika after regarding those factors such as nature of job etc.
  yes naweza kukubaliana na wewe kua huo muda wanao kua wameweka ni miyeyusho kwani mwisho wa siku itategemea kuongezeka ama kupungua kutoka na nature of the job.kwanini wanafanya hivyo?ni loop hole wanayo acha in case ukizingua maana wewe unaweza kusema ooh mwaka umepita wanaibuka na hiyo clause inayosema after regarding other factor.
   
 7. J

  Jamuhuri Huru Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa mimi nina mawazo tofauti, ingawa pia nakubalina na vipengele mlivyoquote ni sawa kabisa. Ila tunachotakiwa kujua kwanza nini mantiki ya kuwa na probation period?? Dhumuni la probation period ni kwamba mwajiri na mwajiliwa wote wawili kuangalia kama wanaweze kuendelea na mahusiano yao kwa maana ya mmoja kumtumikia mwingine. Kwa hiyo hata mwajiriwa anaweza kuancha kazi kwa sababu hajalidhika na mwajiri wake wakiti akiwa kwenye probation period.

  Kwa mujibu wa sheria kama ilivyoainishwa hapa juu kuwa "........ not more than twelve months" now that is the rule.... hii ndio sheria kwamba probation period haitakiwa kuzidi miezi kumi na miwili (mwaka mmoja). Kama mwajiri ataona kuwa huyo mfanyakazi hamfai na ameshafanya zaidi ya miezi sita kazini, basi anatakiwa kumwachisha kwa mujibu wa sheria kama ilivyoainishwa Rule 10 ya G.N.No 42. kufanya.

  Lakini akisubiri mwaka uishe halafu anakuja na swala lakukuachisha kazi under probation ukweli hatokuwa sahihi katika hilo. Pia kama kwenye mkataba alisema probation ni miezi sita, mwajiliwa unatakiwa kumkumbusha mwajiri kwamba miezi sita imeesha. Kukumbushana hii ni practise na wala sio sheria, sababu mwajiri anawafanyakazi wengi kukumbuka kila mmoja inaweza kuwa vigumu kidogo. Kama ikitokea umemkumbusha halafu ajakujibu kuwa umekuwa confirmed mpaka zaidi ya miezi sita ukweli automatiacally tayari umekua confirmed. Manake hapo atakua ametengeneza expection kwako kuwa anakubali utendaji wako wa kazi hivyo hawezi tena kukufukuza kwa sababu ya probation. Labda akitata akufukuze kwa sababu zingine mfano; Incapacity, Poor Work Performance and Incompatibiliy ambapo inatakiwa afwate taratibu zake kama ilivyoonyeshwa kwenye G.N. No 42, Rule 15, 17 and 22 respectively.

  Kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba kama muda umeisha wa probation na mwajiri amemwacha mwajiriwa afanye kazi bila kumwambia kuwa amekuwa confirmeed or not basi hiyo kisheri ni kwamba amemconfirm. The same knowledge za expection ya fixed term contract kuwa renewed pia kwenye probation inaingia the same way.
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  likizo unaweza kuchukua hata kama hujawa confirmed,ila ni lazima uwe umeshafanya kazi kwa consecutive 12 months,ndo unaweza kupata likizo
   
Loading...