Maximo ndungu yangu peformance yako haitapanda hata kama tutawafunga hawa kina Drogba jtatu.
Uwezo wako ni mdogo we tuachie timu yetu wenyewe
statements kama "wachezaji wetu hawafundishiki" ni upuuzi big tyme...tupo watzania about 40million iweje tukose watu wenye akili za kufundishwa kucheza mpira kama 40 tu...ni uongo na sitokaa nikubali...ila mtu akiniambia kuwa aliyepewa jukumu la kutafuta hao vijana 40 wenye akili za kucheza mpira "HAJATIMIZA WAJIBU NA MAJUKUMU ALIYOPEWA" nitakuelewa vizuriii sana.....naye sio mwingine ni MARCIO MAXIMO...na ndio maana tunataka awajibishwe mara moja
wachezaji wengi wa kibongo ni std 7.....unategemea ukimfundisha 'principle of projection' atakuelewa?Jamani wachezaji wetu hawafundishiki.
Jamani wachezaji wetu hawafundishiki.
Simba na yanga zimekuwa na makocha wa kigeni, mbona na wenyewe hawajafanya lolote la ajabu?
Tatizo la soka letu ni mfumo mzima wa kukuza vipaji vyetu
kaka naanza kuamini kuwa kuna propaganda za chinichini kwa kina tff na maximo kununua mechi hiyo ya kirafiki na ivory cost ili a-boost cv yake na aongezewe mkataba japo kwa mwaka mwingine mmoja...ila mwisho wa siku maximo we hate youuuuuuu...huna kiwango babaaa chapa lapa
hizo pesa anazolipwa zitumike kuanzisha hizo sports academy kwa watoto ikiwa wakubwa hawafundishikiEbu toa Ufumbuzi wa matatizo ya Timu yetu..unataka nini kifanyike?
kakalende hivi kipingu si alishawahi anzisha hizo academy?sasa hivi yuko BMT but nothing why au creativity yake imeisha?Wapenzi wa kabumbu, nchi iko katika msiba na hii gemu haitakuwepo, poleni kwa kukosa burudani na hongera Maximo kwa kuepuka KIPIGO.
Acha uongo wewe,kocha ndio tatizo,ukiniambia wachezaji wetu hawafundishiki nakataa mpaka nitakapo zikwa,Mbwa anafundishika ndio awe mwanadamu mwenye akili na uelewa,tafuta kingine cha ku dis lakini kwa hilo siku support!!Jamani wachezaji wetu hawafundishiki.
Simba na yanga zimekuwa na makocha wa kigeni, mbona na wenyewe hawajafanya lolote la ajabu?
Tatizo la soka letu ni mfumo mzima wa kukuza vipaji vyetu