Maximo hata tukiwafunga Ivory Coast hutapona

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
Maximo ndungu yangu peformance yako haitapanda hata kama tutawafunga hawa kina Drogba jtatu.

Uwezo wako ni mdogo we tuachie timu yetu wenyewe
 
Jamani wachezaji wetu hawafundishiki.
Simba na yanga zimekuwa na makocha wa kigeni, mbona na wenyewe hawajafanya lolote la ajabu?
Tatizo la soka letu ni mfumo mzima wa kukuza vipaji vyetu
 
Maximo ndungu yangu peformance yako haitapanda hata kama tutawafunga hawa kina Drogba jtatu.

Uwezo wako ni mdogo we tuachie timu yetu wenyewe

Ebu toa Ufumbuzi wa matatizo ya Timu yetu..unataka nini kifanyike?
 
Jamani wachezaji wetu hawafundishiki.
Simba na yanga zimekuwa na makocha wa kigeni, mbona na wenyewe hawajafanya lolote la ajabu?
Tatizo la soka letu ni mfumo mzima wa kukuza vipaji vyetu

What?
 
kaka naanza kuamini kuwa kuna propaganda za chinichini kwa kina tff na maximo kununua mechi hiyo ya kirafiki na ivory cost ili a-boost cv yake na aongezewe mkataba japo kwa mwaka mwingine mmoja...ila mwisho wa siku maximo we hate youuuuuuu...huna kiwango babaaa chapa lapa
 
statements kama "wachezaji wetu hawafundishiki" ni upuuzi big tyme...tupo watzania about 40million iweje tukose watu wenye akili za kufundishwa kucheza mpira kama 40 tu...ni uongo na sitokaa nikubali...ila mtu akiniambia kuwa aliyepewa jukumu la kutafuta hao vijana 40 wenye akili za kucheza mpira "HAJATIMIZA WAJIBU NA MAJUKUMU ALIYOPEWA" nitakuelewa vizuriii sana.....naye sio mwingine ni MARCIO MAXIMO...na ndio maana tunataka awajibishwe mara moja
 
Nimekusoma Mkuu.
 
Jamani wachezaji wetu hawafundishiki.
wachezaji wengi wa kibongo ni std 7.....unategemea ukimfundisha 'principle of projection' atakuelewa?
Nakumbuka Makongo sec kulikuwa na timu ya mpira ya shule ambayo ilipaswa iwe ni ya wanafunzi lkn matokeo yake walikuwa wanachukua vijana wa mtaani na kuwapa 'scholarship' wasome lkn cha ajabu ni kwamba wachezaji hao hao wanatakiwa kwenda mazoezini kuanzia saa 8-11am kila siku na 4-6pm, sasa sijui unategemea nn hapo? Matokeo yake baada ya wiki chache wote hawaji darasani! Nina uhakika wa ninachokisema na ukitaka data ni PM nikupe majina ya hao wachezaji ambao miongoni mwao ni wachezaji wa simba na yanga...na wengi walichezea timu ya serengeti boys....wengi walilamba 'zero' kwa wale waliojaribu paper za form 4 na 6....
 
Jamani wachezaji wetu hawafundishiki.
Simba na yanga zimekuwa na makocha wa kigeni, mbona na wenyewe hawajafanya lolote la ajabu?
Tatizo la soka letu ni mfumo mzima wa kukuza vipaji vyetu

nasikia maximo anavyeti vya kufoji. anyone with hits????????
 
Maximo aende tu imeshatosha jamani.......haoni hata kwa Clinton?uwezo wake na team imebadilika week 3 tu??
 
nasikia maximo anavyeti vya kufoji. anyone with hits????????

ha ha ha, hilo mkuu sina uhakika nalo ingawa linaweza kuwa lina ukweli ndani yake ila nina uhakika kwamba anao ujuzi wa kutumia laptop kufundishia soccer......:)iiiiii
 
kaka naanza kuamini kuwa kuna propaganda za chinichini kwa kina tff na maximo kununua mechi hiyo ya kirafiki na ivory cost ili a-boost cv yake na aongezewe mkataba japo kwa mwaka mwingine mmoja...ila mwisho wa siku maximo we hate youuuuuuu...huna kiwango babaaa chapa lapa

Maneno yako yanachembe za ukweli kwani ukiyafafanua vizuri maneno ya JK siku anapokea kafimbo ka Malkia (kwamba "watanzania wakumbuke kuwa ndo kwanza tunaanza hivyo pawe na uvumilivu") unaweza kukubaliana na ushindi wa kununua, kwani pesa ngapi? akitafutwa Fisadi mmoja tu anaweza kugharamia hilo.
 
Wapenzi wa kabumbu, nchi iko katika msiba na hii gemu haitakuwepo, poleni kwa kukosa burudani na hongera Maximo kwa kuepuka KIPIGO.
 
Wapenzi wa kabumbu, nchi iko katika msiba na hii gemu haitakuwepo, poleni kwa kukosa burudani na hongera Maximo kwa kuepuka KIPIGO.
kakalende hivi kipingu si alishawahi anzisha hizo academy?sasa hivi yuko BMT but nothing why au creativity yake imeisha?
 
Imekuwa kama tumepigwa laana fulani kazi yetu ni kulaumu bila kujichunguza wenyewe. Hata akija kocha wa aina gani hatutafanikiwa kwa sababu hiyo hiyo . Huyu kocha alipokuja hali ya soka ilikuwa ni nyingine kabisa lakini alibadilisha kabisa nasi sote tukamsifu lakini sasa tunamponda tunasahau matunda yake bado yako simba/yanga na nyingine.
Tatizo ni aina ya wachezaji wetu kwani wakifikia kiwango kidogo tu na kusifiwa basi tatizo linaanza hapo . Vile vile hawana self discipline kudhibiti muda wa starehe, chakula, mazoezi, kulala nk. Sis wapenzi pia tunachangia katika kudororesha mchezo huu. Hebu jaribu kwenda kwenye kumbi za starehe za %%%%%,""""""",|||| na utaona tunavyowapa ofa za bure za pombe na kina dada nao hawako nyuma.
Please let us be analytical tujue chimbuko halisi na possible solution badala ya kumlaumu maximo au ndiyo kama kawaida yetu kwenye mapungufu tunatafuta scape goat hadi lini???/
 
Jamani wachezaji wetu hawafundishiki.
Simba na yanga zimekuwa na makocha wa kigeni, mbona na wenyewe hawajafanya lolote la ajabu?
Tatizo la soka letu ni mfumo mzima wa kukuza vipaji vyetu
Acha uongo wewe,kocha ndio tatizo,ukiniambia wachezaji wetu hawafundishiki nakataa mpaka nitakapo zikwa,Mbwa anafundishika ndio awe mwanadamu mwenye akili na uelewa,tafuta kingine cha ku dis lakini kwa hilo siku support!!
 
Eti hata tukiwafunga Ivory Coast hivi Tanzania wana mpira gani wa kuwafunga Ivory Coast??
 
Maximo amekuja amejitahidi kubadili mtazamo wa wachezaji na wapenzi towards timu ya taifa lakini si katika uchezaji.muda wote aliokaa tanzania tumekuwa tukicheza mchezo wa aina moja wa kujilinda tu,amekuwa akijaza viungo wengi kwa kuzuia ila timu haishambulii ndo mechi za stars tulikuwa tunapata taabu kushinda iwapo itatokea tutatanguliwa kufungwa,so plan b ya maximo haikuwa ikionekana
pili maximo japo alikuwa anatetea suala la discipline ilibidi awe anaangalia mahitaji ya baadhi ya wachezaji kwani wengi wanaweza kurekebishwa badala ya yeye kuwawekea vinyongo visivyo na faida kwa taifa

ila tatizo sisi kama taifa na vilabu tumesaidiaje katika kutoa wachezaji bora kwa ajili ya taifa letu?vilabu vyenye wachezaji wazuri wazalendo hutoa timu ya taifa bora,sasa sisi kila siku tunashindana kununua wachezaji kutoka nchi za nje, kwa miaka mitatu iliyopita mfungaji wa ligi kuu ya tanzania amekuwa sio mtanzania ,je maximo atoe wapi sentafowadi atakaekuwa goAlgetter iwapo vilabu vyenyewe haviwatengenezi?
 
mie kwa maoni yangu naona kuwa alipotufikisha maximo ndio limit yake ss tutafute kocha mwengine ili aje kuendeleza pale alipotufikisha huyo maximo.kusema ukweli maximo katutowa kwenye mashimo tulikuwa kichwa cha mwendawazimu lakini ss hivi at least ni kichwa cha punguwani.
 
Back
Top Bottom