Maximizing your potential

Mzani

Member
Nov 12, 2010
80
5
Salaam Wanajamii.

Kuna mtunzi mmoja wa vitabu Anaitwa Jack Canfield ( American # 1 success coach). Ametunga vitabu kama

1. Chicken Soup for the Soul
2. The power of focus
3. The success principles

Vitabu hivi na vinginevyo vimependwa sana na zimeuzwa copy nyingi sana ulimwenguni.

Ninahitaji kuvinunua hivyo vitabu, kwa yeyote anayejua mahali ambapo ninaweza kuvipata, tafadhari nijulishe kwa

no. 0713 69 43 48
 
Back
Top Bottom