Max kwa kweli wewe ni mzalendo wa kweli. Kwa kweli wewe hata serikali itakuelewa vizuri sana ndio maana umepata support kutoka kwa watu mbalimbali, wenye itikadi mbalimbali, dini mbalimbali, makabila mbalimbali na hata Maaskari na mapolisi ambao wengi humu kwa kuwa tu upinzani basi kila kitu ni kukosoa hata kama ni cha haki.
Nimependa ulivyokuwa mkweli na hata serekali imeanza uona ukweli.
To my opinion sisi wanachama wako ndio tunaokuponza. Kwa kusimamia ukweli utazidi kuwa huru!