Maxence Melo atunukiwa tuzo ya kinara wa kutetea Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni 2018/19

Mkuu, wote (na wengine wengi usiowafahamu) wapo.

Maxence Melo ni kiongizi na muwakilishi wetu mkuu, ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi (nje ya kwamba ni muanzilishi). Shuguli zake zote anazofanya uhusisha kupigania haki ya Uhuru wa Kujieleza, Haki ya Faragha na ni Mtaalam wa Usalama wa Mitandao (Digital Security) na mhimu zaidi kuhakikisha jamvi (JamiiForums) lililo salama na kuwezesha uhuru wa kujieleza.

Mike Mushi ni Mwanzilishi mwenza, nje ya shuguli zake zenye mchango mkubwa zinazohusiana na JamiiForums ana shuguli na interest kwenye ‘field, nyingine kwenye shuguli za Internet.
JF crew ina Safu inayojua mavituz mpk Raha kujiachia tuuuu...staki kuamini bwana Maxence Melo ndiye mtu pekee anaejua napatikana wapi! kiruuuu sema Hongera sana Father Maxence Melo endelea kutupambania ya hela yote haina kurudisha chenchi hiyo baba angu.
 
View attachment 1083094

Kwa niaba ya Wakurugenzi na Watendaji wa JamiiForums nampongeza Mkurugenzi wetu Maxence Melo kwa kupata tuzo ya kinara wa Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni kwa mwaka 2018/19(Distinguished Champion of Online Freedom of Speech in Tanzania 2018/19) iliyotolewa na Jumuiya Watetezi wa Haki za Binadamu(THRDC)

Maxence amekuwa mtetezi wa haki za kidijitali na uhuru wa kujieleza kwa zaidi ya miaka 10 kupitia JamiiForums. Tuzo hii imeangazia sehemu ya kazi zake nyingi za mtandaoni.

View attachment 1083183

Kauli mbiu ya siku hii kwa mwaka huu ni “kudai na kulinda nafasi ya kiraia mtandaoni kwa ajili ya kuboresha na kulinda Haki za Binadamu Tanzania.” JamiiForums chini ya uongozi wa Maxence, tumejikita katika kuhakikisha nafasi ya kiraia(civic space) inalindwa mtandaoni na nje ya mtandao.

Ni katika kulinda nafasi hii, Mkurugenzi wetu alifunguliwa kesi ambazo zinaendelea hadi sasa.

Tunamtakia kila la heri katika harakati za kuendelea kupigania haki za kidijitali na uhuru wa kujieleza na kuahidi kuwa team yote ya JamiiForums itakuwa naye bega kwa bega katika safari hii.
Hongera sana kaka Maxenco Mello nakuombea kwa mungu ubarikiwe sana na usikate tamaa kaka.

Tunawapongeza pia washindi wengine walioibuka vinara wa kutetea uhuru wa kujieleza katika nyanja mbalimbali wakiwemo CIPESA, Salma Saidi, Maria Sarungi na wengineo.
 
Hongerazake kwa kupewatuzo, Mungu azidi kumbariki apate na zingine nyingi zaidi
 
Nakupongeza sana mkuu, tuko nyuma yako. hiyo uliyonayo ni talanta hata wafanyeje ni mungu peke yake ndiyo anaweza kukuzuia. Congratulations!!!!
 
Back
Top Bottom