Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,168
- 7,523
JF crew ina Safu inayojua mavituz mpk Raha kujiachia tuuuu...staki kuamini bwana Maxence Melo ndiye mtu pekee anaejua napatikana wapi! kiruuuu sema Hongera sana Father Maxence Melo endelea kutupambania ya hela yote haina kurudisha chenchi hiyo baba angu.Mkuu, wote (na wengine wengi usiowafahamu) wapo.
Maxence Melo ni kiongizi na muwakilishi wetu mkuu, ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi (nje ya kwamba ni muanzilishi). Shuguli zake zote anazofanya uhusisha kupigania haki ya Uhuru wa Kujieleza, Haki ya Faragha na ni Mtaalam wa Usalama wa Mitandao (Digital Security) na mhimu zaidi kuhakikisha jamvi (JamiiForums) lililo salama na kuwezesha uhuru wa kujieleza.
Mike Mushi ni Mwanzilishi mwenza, nje ya shuguli zake zenye mchango mkubwa zinazohusiana na JamiiForums ana shuguli na interest kwenye ‘field, nyingine kwenye shuguli za Internet.