Maxence Melo apewe PhD ya heshima

Apewe hata hata Nchi tu mi naona fresh kuliko hao kina Mwiguluiza Madelu Nchembazimana wachumia tumbo tu!
Anastahili Kama jiwe aliweza kua mkuu wa Nchi japo ni Zero exposure yeye ni nani ashindwee?

2025 twende na Max!
 
Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana.

Kwa wenzetu mfano Harvard & na Oxford hutazama zaidi watu wenye mchango mkubwa katika tasnia flan, au utofauti mkubwa katika ufanyaji wajambo lenye Tija kwa jamii. Mfano wawatu waliotunukiwa hesma hii ni Muasisi wa Microsoft , Gates, nq Yule Luciano yule muitaliana wa opera min.

Kwanini Maxence apewe?
Nani asiyejua mapinduzi ya habari za kidigital Tanzania yameletwa na Jamiiforum?

- Unajua JamiiForums ni jukwaa pekee la kitanzania linaloruhusu watumiaji wake kutoka kutoka maoni huku likijitahidi kulinda privacy ya watumiaji wake?

- Anajua ndio Ndio mtandao wenye machapisho mengi zaidi kutoka Tanzania?

- Anajua hakuna mahali palipoandikwa kwa kiswahili mtandaoni maranyingi kama jamii forum?

- anyway nahisi kuna mengi ambayo bado siyajui kuhusu Huu mtandao lakini kwa hayo machache yanaweza kuwa sifa za heshma hiyo.
Mwisho, Haya nimaoni yakibinafsi.
Anapewaje PHD ikiwa haijulikani hatma ya JLW ?
 
Nashangaa udsm wanashindwa wapi kumujumuisha huyo jamaa km zao lao? Hawajui utaongeza jina la chuo kimtaifa
 
Huyu jamaa sidhani kama hiyo "piechidii" itamfaa maana tayari ni msomi..
Cha msingi na cha sekondari ya kata na ya "sirikali".

Ningeomba aturudishie jukwaa muhimu sana lile. Hata akitaka chuo cha jalalani tutakihamishia nyumbani kwake..
 
Back
Top Bottom