mdaka mishale
Member
- Apr 27, 2023
- 44
- 60
Msije kusema sijawaambia, weka milioni 10 mpe Yanga ashinde ujishindie milion 20 za bure kabisaa.
Kumbuka Max Nzegeli ndio amebeba hirizi ya timu na ule uwezo utakaouonesha leo jueni ni ndumba hizo ndizo zinazofanya kazi.