Bongo mbona ipo imetengenezwa na kija wa Buni lab sema haijapata umaarufu.MAX GO, jii ni app imeanzishwa Nigeria (Lagos) kwa ajili ya Boda Boda zao, iko kama UBER ile ya Taxi, tena wenzetu wanatupiga bao hivi hivi..
Ila kweli hatuwezi kufanya franchise au kuanzisha na sisi yetu? Au bado tupo kwenye "Coma", na kwamba haya mambo hatuyawezi...
http://www.max.ng/go
Ili wengi waelewe Bun Lab, basi wetembelee tovuti yao : About Us | BUNIBongo mbona ipo imetengenezwa na kijana wa Buni lab sema haijapata umaarufu.
Vijana wapo wanatengeneza vitu ila sijui wanafail kwenye marketing au wanakosa support sijaelewa wanafail wapi ukienda Buni utashangaa kikuta innovation za ajabu ambazo hukuwai sikia wala fikiri kama zinafanyika tanzania.
Kuna printer za 3d za kutengeneza teaching apparatus, kuna ma drones kuna applications kibao vijana wako vizuri sana pale.
Wapi uko mkuuBongo mbona ipo imetengenezwa na kija wa Buni lab sema haijapata umaarufu.
Vijana wapo wanatengeneza vitu ila sijui wanafail kwenye marketing au wanakosa support sijaelewa wanafail wapi ukienda Buni utashangaa kikuta innovation za ajabu ambazo hukuwai sikia wala fikiri kama zinafanyika tanzania.
Kuna printer za 3d za kutengeneza teaching apparatus, kuna ma drones kuna applications kibao vijana wako vizuri sana pale.
Hapo lilipo jengo la science after bamaga humo humo mkuuWapi uko mkuu
PHYSICAL ADDRESSWapi uko mkuu
Samahani mkuu tena je wanapokea watu wa Ku volunteer kwa muda fln apoPHYSICAL ADDRESS
Physical Address
We are at The Tanzania Commission for Science and Technology building which is situated in Dar es salaam city at the COSTECH (Sayansi-building) Ali Hassan Mwinyi Road, Kijitonyama.Ground floor on the right.
Mailbox:
P.O. Box 4302,
Dar es salaam
Email Address
brian@buni.or.tz || jumanne@buni.or.tz
hawajitangazi hilo ndio tatizo, tutajuaje wapoBongo mbona ipo imetengenezwa na kija wa Buni lab sema haijapata umaarufu.
Vijana wapo wanatengeneza vitu ila sijui wanafail kwenye marketing au wanakosa support sijaelewa wanafail wapi ukienda Buni utashangaa kikuta innovation za ajabu ambazo hukuwai sikia wala fikiri kama zinafanyika tanzania.
Kuna printer za 3d za kutengeneza teaching apparatus, kuna ma drones kuna applications kibao vijana wako vizuri sana pale.
Bun lab ni kwa ajili ya vijana na wanapokea vijana nenda pale jiandikishe utakuwa unasaidiwa na kupata pkatform ya kufanya mambo yako.Samahani mkuu tena je wanapokea watu wa Ku volunteer kwa muda fln apo
Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Nafikiri watakaotaka wameipata hii, ni bomba kwa kweli, tuamke vijana, nendeni na ideas zenu mpate ushauri, wadau, kizazi kipya mambo chap chap..tusilale kama wazee, kazi serikalini ni chache, kujiajiri ndio trend ya sasa kwa uvumbuzi wako, utatoka tu...Samahani mkuu tena je wanapokea watu wa Ku volunteer kwa muda fln apo Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Hapo sio kuvolunteer ni sehemu ya kukutana watu wa IT, kufanya projects na kutoa ideas wao wanasaidia kuipush mbeleSamahani mkuu tena je wanapokea watu wa Ku volunteer kwa muda fln apo
Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Ili wengi waelewe Bun Lab, basi wetembelee tovuti yao : About Us | BUNI