Asante Himidini. Ila nashukuru Mungu mume wangu ananipenda sana na ananisikiliza, vinginevyo ingekuwa hatari maana chokochoko zimezidi sana.
Ukiona wifi anakusumbua sana mwambie aje yeye kukaa na kaka yake. Ni wivu na Stress za maisha tu vinawasumbua wengi wao halafu wanataka kusambaza na wengine nao wapate.
^^
Pole
^^
Mzima wewe... lol... kuna mtu kashaumia hapa, mie napita nikaona nikupe hi mkuu...
umemaliza kila kitu,hakuna cha kuongezea hapo.Ukiona wifi anakusumbua sana mwambie aje yeye kukaa na kaka yake. Ni wivu na Stress za maisha tu vinawasumbua wengi wao halafu wanataka kusambaza na wengine nao wapate.
^^
Migogoro mingine huchangiwa sana na kuishi karibu na ndugu, I mean majirani kabisa.
Ndugu ni wazuri mkiishi nao mbali tena kiasi cha kuweka bajeti kwenda kuwaona.
Mmefikiria hilo? Maana kwa fitina za wanawake kwa wanawake itafika mahali uvumilivu utakushinda na mumeo ataegemea kwa ndugu.
^^
Ukiona wifi anakusumbua sana mwambie aje yeye kukaa na kaka yake. Ni wivu na Stress za maisha tu vinawasumbua wengi wao halafu wanataka kusambaza na wengine nao wapate.
^^
Mie mzima Madam,
ila usiogope, ni changamoto za maisha ya ndoa tu
^^
Asante Himidini. Ila nashukuru Mungu mume wangu ananipenda sana na ananisikiliza, vinginevyo ingekuwa hatari maana chokochoko zimezidi sana.