Mawifi jamani, hivi wana nini?

Hahahaha! Bwashee unaua. ChaWote pana mkesha, siyo?
ChaWote hapadanganyi!ngoma sio ya kitoto ile,ndio maana mi nilikimbia jana.maanake ningeharibu Bwa-Shee.hehehehehe
 
Kale katripu kameota mbawa?

naondoka hapa saa nne hivi.kwa sasa naweka vitu fresh ofisini,dhen naenda kununua ''sick-shiti'' maanake ni mambo yangu pesono bwa-shee.nikishawapa sikishiti,nitawapigia jamaa waje wanipick tuanze mwendo kuelekea mjengoni dom
 
hivi bwa shee umestukia kitu humu jamvini kwamba kuna ubaguzi?
 
Kati yetu na wabeba mabox au? Jana mkuu nguli alianzisha vita humu ndani.
hilo ni jibu sahihi!hawa jamaa wamejitenga na wana thredi zao sasa hivi.lakini mimi nafurahi kwamba wamepewa dozi,ai mini ukweli.kujitenga kwao ni swala la muda tu.maanake nimepitia thread moja nimekuta wapo wenyewe tu.
 
Vp Pretty umepata njemba ya usukumani nn?
 
hilo ni jibu sahihi!hawa jamaa wamejitenga na wana thredi zao sasa hivi.lakini mimi nafurahi kwamba wamepewa dozi,ai mini ukweli.kujitenga kwao ni swala la muda tu.maanake nimepitia thread moja nimekuta wapo wenyewe tu.

Hilo halitusumbui. Sisi tunaendelea kuchapa mwendo. Thread gani hiyo nikawachape dozi ndogondogo?
 
naona mzawa ndani ya nyumba:hehehehe

Fidel80

Fidel80 > Muosha huoshwa
JF Premium Member

Fidel80

Fidel80 > Muosha huoshwa
JF Premium Member
 
Hilo halitusumbui. Sisi tunaendelea kuchapa mwendo. Thread gani hiyo nikawachape dozi ndogondogo?

kuna thread ya kevini twista,na thredi ya hotuba za mwalimu zitumike mashuleni.wanajiongopea.nadhani wameingilia mlango wa kutokea
 
habari za mawifi achana nazo pretty we omba mungu akupe mme mwema tu wa kuelewa na kupambanua mambo
la ndoa utaiona chungu mawifi wakianza na mzee akawa upande wao

Mie mwenzio nikipiga goti nasikia maumivu ingawa kabila langu shurti upige goti ...huyo wifi yako anaijua adabu🙂
 
kuna thread ya kevini twista,na thredi ya hotuba za mwalimu zitumike mashuleni.wanajiongopea.nadhani wameingilia mlango wa kutokea

Ya Kevin Twisa hiyo tangu jana. Mpwa Nguli aliwasokomezea kombora. Ngoja nichungulie hiyo nyingine
 
Mawifi wasikupe presha Pretty, we hakikisha uko page moja na mumeo tu mengine yote watajikuta wanapoteza muda. cha msingi usiwe nao close saaana, watapata muda wa kukuchimba na kuanzisha vijineno. we kuwa busy na life yako yani mkionana ni kwa ishu muhimu then unasepa. hiyo tu ndo siri ya kudeal nao, ukiwaendekeza ndoa itakushinda.
 
Carmel darling, habari ya asubuhi? Nimekumisi vibaya mno.
 
Mawifi wasikupe presha Pretty, we hakikisha uko page moja na mumeo tu mengine yote watajikuta wanapoteza muda. cha msingi usiwe nao close saaana,.

Hata kama wewe wifi yao kimeo wabaki kimyaa unamwangamiza kaka yao vp bana? Damu nzito kuliko maji ukiwa kimeo utanyooshewa kidole na mawifi mpaka utakapo jirekebisha ebo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…