mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,642
- 3,653
Huenda anamaanisha WiFialiyeelewa anieleweshe na mimi
Huenda anamaanisha WiFialiyeelewa anieleweshe na mimi
aliyeelewa anieleweshe na mimi
naona kunde maharage chorokona mbaazi
Alielewa aniaelekeze.
Dah, spidi yote hii ulikuwa unakimbilia JF tu!.
Haya sasa umefika, tulia andika vizuri
Kabisa kabisa
Ni mimi tu ndio sijaelewa au![]()
Nielewe wapi auntie imenibidi niwakumbushe wana wa adamu kuhusu corona
Umeona ee!Mweeeeh!! Sasa hapa analaumiwa wifi kwa kosa gani labda wakati kimeo ni yeye?
Wewe na mawenge yaliisha au ndo yalitoka kwa mawifi?Huyu wifi sijui alikuwa na nia gani? Kama unavyojua katika kumfatilia mwanaume kuna siku dada ake kamtumia text mdogo ake mimi nisijue kama yeye maana mimi nilikuwa na no ya dada yake nyingine sio hiyo aliyoitumia kwa mdogo ake.
Nikaanza kumtext sweet micc u! I love u so much. Sasa dada ake no yangu anayo badaye nikaja kugundua ni wifi nikamwomba msamaha, nikajua yameisha. Mmh! asimpigie mdogo ake simu nini kumwambia mdogo wake akaanza kunisema, mmh hawa mawifi jamani!
ShunieIli kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, kaa umbali wa mita moja kati ya mtu na mtu. Piga 199 au *199#. Ukiwa nje ya nchi piga 0800110124