wachukue viumbe wa Mungu na uwalee.Mie hao watoto wananitia simanzi...
wachukue viumbe wa Mungu na uwalee.
Nalog off
ni kweli bora ufanye hivyo hizo hela zisije zikakuponza kesho.Ushauri mzuri...ntapata fungu kubwa kwa mungu kwa kweli..
usiombe uwe na mawazo wakati hauna hela.
Nalog off
Hiyo picha ya huyo binti imeondoa uhalisia wa hizo picha za hao watoto hata kama nae anawaza