dri ma
Senior Member
- Aug 5, 2012
- 106
- 16
Nimedate mdada of my age (26), ni kama mwezi mmoja umepita toka aniambie kuwa ana mtoto mmoja. Kiukwel tunapendana sana na sitaki kumcheat wala kumpotezea muda wake. Napata mawazo ya kumwoa in future ila naomba kwa wajuzi wa mambo mnishauri kwa jinsi ilivyo naweza nikapata changamoto gani mbeleni kama nikimwoa