Ngutunyi junior
Member
- Feb 22, 2019
- 51
- 27
Nadhani rc wa dar ingemfaa Sana ii kazi maana anapenda kufurahisha watu kwa vitu vya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha kiswahili kigumu Sana ulipata ngapi standard 7 kwanz ili nijue nikujibu vipiSio mawazo yako, ni ya huyo jamaa aloshika bango labda tu huyo jamaa awe wewe. mbona tunadanganyana wakati picha imeonesha wazi
Sent using unknown device