Mawazo yananiua!

Mawazo yananiua!

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,628
Reaction score
4,970
Habarini wadau
Member mwenzenu yamenikuta, dunia naiona chungu.

Nilikua na mazoea ya kupitia bar flani hivi napiga mbili tatu kisha narudi nyumbani. Nikaweka mazoe na barmaid (ya kawaida tu) ambae alikua mcheshi siku zote nizokua nikifika hapa. Alikua anapenda kuketi nami na kunielezea mambo mengi tu ya kimaisha matatizo anayopitia kiasi cha kumuonea huruma. Dada ni mzuri kwakweli. tukafikia hatua hadi ya kubadilishana namba ya simu.

Majuzi wakati niko kwa ofc akanipigia akinambia yule bosi wake (alokua akimtaka kimapenzi) amemtimua kazi na ashaenda kukata tiketi ya kurudi kwao , na kule geto alikokua akiishi na wenzake ashatimuliwa.

Huruma ikaniingia. Nikamwambia anisubiri nikitoka kazini nitaonana nae.

Jioni niotoka nikampitia nikamkuta kweli amepaki mabeji yake nikamfanyia booking ya chumba ajihifadhi mpaka kesho akielekea kituoni.

Nikamwacha room lakini hakuridhia akanisihi tukae kidogo japo tupige stori mbili tatu. Kwakua nje yake kulikua na bar, basi nkamsihi tukae hapo bar tupige hizo stori.

Nikaanza kuzifakamia huku stori zikiendelea, alikua ana habari nyingi sana kila nikitaka kuondoka ameanzisha hii. Na kama ujuavyo bar unavoendelea kukaa ndivo unavoendelea kuzinywa.

Hata nivomuaga mara ya mwisho akanisihi kua muda umekwenda mno na kwa hali ile nisingefika niendako.

Nikazama nae mpaka room huku nikiwa na ndomu za kutosha tu kama ikitokea zitasave.

Time ya game ilivofika nilivaa kwa makini ile kitu lakini ilichukua muda mrefuu bila mi kumaliza nahisi ni kutokana na mapombe nilokunywa, mwenzangu akalalamika kua anaumizwa sana na kitu nilovaa.

Akatoa mafuta akanambia nivulie mbali ile ndom na nipakae mafuta ambayo ameniaminisha kua nikipaka sitapata mchubuko na tutakua safe wote. Pombe zangu kichwani zikaamini njia hiyo na nikatumika bila kinga!

Ivofika asubuhi mipombe isheniisha kichwani ndo naanza ku recall, Ayyaaaah metumika bila kinga miye!

Nikaamka zangu na kumwacha yule barmaid akijitayarisha kwa safari.

Basi wadau nina mawazo mwenzenu mpaka naumwa hivi nimesalimika kweli miye? Daaaah! Sijui nikapime miye! Uff!
 
Duh! watu kwa kujilipua, sipati picha ni wangapi wamemuonea huruma kama ulivomuonea wewe.....pole!!!!
 
Huwa mnapenda kusingizia pombe.Jiulize ujasiri wa pekupeku aliupata wapi?

Kaaaaaamanda.
 
Daah wandugu. Hebu kueni na huruma jamani, badala mifariji ndio mwazidi kunidhoofisha. Aaah!
 
Nisubiri hapo hapo nakuja
 
Attachments

  • 1389452822690.jpg
    1389452822690.jpg
    49.7 KB · Views: 598
Pole

Kawaida ni kuvuna kile mtu apandacho

So tegemea mavuno ya chochote ulichopanda
 
Habarini wadau
Member mwenzenu yamenikuta, dunia naiona chungu.
Nilikua na mazoea ya kupitia bar flani hivi napiga mbili tatu kisha narudi nyumbani. Nikaweka mazoe na barmaid (ya kawaida tu) ambae alikua mcheshi siku zote nizokua nikifika hapa. Alikua anapenda kuketi nami na kunielezea mambo mengi tu ya kimaisha matatizo anayopitia kiasi cha kumuonea huruma. Dada ni mzuri kwakweli. tukafikia hatua hadi ya kubadilishana namba ya simu.
Majuzi wakati niko kwa ofc akanipigia akinambia yule bosi wake (alokua akimtaka kimapenzi) amemtimua kazi na ashaenda kukata tiketi ya kurudi kwao , na kule geto alikokua akiishi na wenzake ashatimuliwa.
Huruma ikaniingia. Nikamwambia anisubiri nikitoka kazini nitaonana nae.
Jioni niotoka nikampitia nikamkuta kweli amepaki mabeji yake nikamfanyia booking ya chumba ajihifadhi mpaka kesho akielekea kituoni.
Nikamwacha room lakini hakuridhia akanisihi tukae kidogo japo tupige stori mbili tatu. Kwakua nje yake kulikua na bar, basi nkamsihi tukae hapo bar tupige hizo stori
Nikaanza kuzifakamia huku stori zikiendelea, alikua ana habari nyingi sana kila nikitaka kuondoka ameanzisha hii. Na kama ujuavyo bar unavoendelea kukaa ndivo unavoendelea kuzinywa.
Hata nivomuaga mara ya mwisho akanisihi kua muda umekwenda mno na kwa hali ile nisingefika niendako.
Nikazama nae mpaka room huku nikiwa na ndomu za kutosha tu kama ikitokea zitasave.
Time ya game ilivofika nilivaa kwa makini ile kitu lakini ilichukua muda mrefuu bila mi kumaliza nahisi ni kutokana na mapombe nilokunywa, mwenzangu akalalamika kua anaumizwa sana na kitu nilovaa.
Akatoa mafuta akanambia nivulie mbali ile ndom na nipakae mafuta ambayo ameniaminisha kua nikipaka sitapata mchubuko na tutakua safe wote. Pombe zangu kichwani zikaamini njia hiyo na nikatumika bila kinga!
Ivofika asubuhi mipombe isheniisha kichwani ndo naanza ku recall, Ayyaaaah metumika bila kinga miye!
Nikaamka zangu na kumwacha yule barmaid akijitayarisha kwa safari.
Basi wadau nina mawazo mwenzenu mpaka naumwa hivi nimesalimika kweli miye? Daaaah! Sijui nikapime miye! Uff!

Acha kutuzingua watu wazima wenzio. Huyo bamedi ulikuwa unamtaka tu. Sasa unavuna ulichopanda.

Kila lakheri mkuu.
 
Jamani tulifunze kwa yaliomkuta jamaa, kupiga kayamba sio kuzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom