Mwanaume anahitaji utulivu hata kama unajua mapenzi vipi ila kama ulimi wako ni mchafu unaongea sana unamkera hawezi kutulia ataenda kwenye utulivu huku anarudi kulala tuu
[emoji122]Mwanaume anahitaji utulivu hata kama unajua mapenzi vipi ila kama ulimi wako ni mchafu unaongea sana unamkera hawezi kutulia ataenda kwenye utulivu huku anarudi kulala tuu
wenzako wakati mwingne tnakataa kugonga hyo tamtam..tnakua na mambo mengi kichwani au hatuna hamu..ila tnapenda kuwa nao karibu kutuliwazaChukulia wanawake wangeumbwa bila hiyo tamtam, je vidume tungewafukuzia.
Nadhani hata kitu inayoitwa ndoa isingekuwepo. Kwa maana hiyo, hiyo tamtam kweli kabisa ndio ugonjwa wetu kwao, kama ilivyo wao na ugonjwa wa mihogo.
bora wewe uliyeamua kuwa mkweli...wengine wataruka fut 100 wakati wanasima hii post hukuwakiwa juu ya viuno vya watu saa hii..Kiukweli wanaume tunapenda ngono..Mwanume yoyoye rijali anapenda kunong'onoka. Sasa kwa sababu hawa viumbe watamu wanajua tuko hivyo wanatumia sababu hiyo kutuadhibu. Ni changamoto kwa kweli
[emoji109] [emoji109][emoji122]