10 Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.
12 Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
13 Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.
Kupitia kupenda kutazama porno.Wewe unajuaje ni jini ?, Na kama ni kweli natokaje
Tafadhali ishi maisha ya utauwa ukimpendeza mungu na wanadamu, ukitaka kuacha porn mikono ipate pilipili. OverMathayo 24:9-14
9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
Binafsi sijui ninashida gani nina miaka 20+ sijawahi kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yeyote. Porn graphics zimeniathiri sana, kuna muda natamani niingie kwenye mahusiano ila nasita sana naona kama siyo wakati mwafaka. Natamani nijiimarishe kwanza kiuchumi ndiyo niingie kwenye mahusiano. Nimekuwa nikiona usaliti kwa wapenzi nao umekuwa ukinipa hofu na kunifanya niwe na mawazo mengi. Mimi ni mtenda dhambi kama wengine, kuna muda ndiyo napenda mtu ila upendo wangu unapoa nasita kabisa kutongoza. Sasa sijui ni vumilie hadi mwisho(yani mpaka nijiimarishe kiuchumi) maana naona porn graphics zinaniharibu. Kiukweli nina shida nyingi mawazo yenu wadau
sasa unampango gani apo baadaeUna maanisha niwe na mahusiano na mwanamke
Siwezi na upadre sio kitu changu kabisa
Nimejaribu sana ila wapi, kuna muda huwa roho yangu inajihukumu sana. Ila nitajitahidi kutokaDaah mdau fanya mpango ukimbie kabisa hio dhambi, kwanza ishaanza kukuvuruga na itakuharibu mbaya sana umri unaenda na nguvu ya mwili ndio unazidi kuipunguza dizaini hio 🤔
sasa unampango gani apo baadae
Nimejaribu sana ila wapi, kuna muda huwa roho yangu inajihukumu sana. Ila nitaendeleaDaah mdau fanya mpango ukimbie kabisa hio dhambi, kwanza ishaanza kukuvuruga na itakuharibu mbaya sana umri unaenda na nguvu ya mwili ndio unazidi kuipunguza dizaini hio 🤔
Niwe mfanya biashara mkubwa, nioe ,nife kwa amani ya bwanasasa unampango gani apo baadae
Amen,, mafanikio memaNimejaribu sana ila wapi, kuna muda huwa roho yangu inajihukumu sana. Ila nitaendelea
Niwe mfanya biashara mkubwa, nioe ,nife kwa amani ya bwana
Kuna muda nakua na kiu sana huwa naona nisije nikabaka bure nisije sababisha dhambi nyingineKwanza kutoshiriki mapenzi sio kosa labda ujilaumu,,kwa umri huo ni vizur ukajilinda mpaka pale utakapo amua kuwa na mwenza rasmi
Shida ipo kwenye porno,,tena ni shida kubwa sana,sehemu ya madhara ambayo utayapata ukija kuwa na mwenza ni kuwa utakosa hisia kwake mpaka ukumbuke picha za kwenye porno,,yaani mtoto yupo mbele yako lkn mzuka hauji kabisa mpaka uvute picha uliyoiona katika porno
Pili,kumwaga fasta ni sekunde tu,kwasababu porno inakujenga au inafanya ubongo wako ujenge taswira ya kukojoa fasta kutokana na hisia unazo zipata unapo angalia porno
Porno inaenda sambamba na masterbation,,una hatar kubwa ya kuua mishipa midogo midogo katika uume wako na kuufanya uwe legelege na usio na nguvu kabisa,,hapo uanaume wako una sema thank you hivi hivi
Pambana na huo uraibu,kwanza tafuta app ambazo zinakuwezesha kutoruhusu simu yako kuonyesha porn
Pili tafuta kitu mbadala kwa maana pale unapojisikia kutaka kuchek porn basi unashift mind yako kwa kufanya jambo lingine,,na usipende kukaa peke yako kwakuwa ukiwa peke yako tu ndio zile hisia zitakujia na kukushinda nguvu
Kila la kheri
Kwahyo mapadre ndio wa aina hiyo?sasa si ungeenda kua padre tu ndugu
Daah pole sana asee, unapaswa kufuta kama ni apps au site zote zinazokufanya u access hizo mambo na usijaribu tena kabisa kuzitaka.Nimejaribu sana ila wapi, kuna muda huwa roho yangu inajihukumu sana.
Ni kweli kabisa,kwasababu porn inakupa hisia za juu za kutaka tendo kwahiyo mawazo hayo ni rahisi kukujiaKuna muda n
Kuna muda nakua na kiu sana huwa naona nisije nikabaka bure nisije sababisha dhambi nyingine