Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Usijilaumu wewe kwa hali mbaya ulokua nayo mlaumu mama yako kwani wakati anatongozwa hakuwaona wakina baresa,manji,mengi .........
MP.
hehehe huyo ndo maprosooo
Najuta kuzaliwa ukoo hauna hata mbunge.
Gombea wewe, sio unakaa dodoma hata jengo labunge hulijui(joke)
Nakumbuka nilivyokuwa mdogo nilikuwa nawaza kuwa kunauwezekano magari pia yana jinsia. Kwamfano magari aina ya roli, pickup ni yakiume na dcm, hiace, mabus yote ni yakike.. leo nagundua yalikuwa mawazo mbofumbofu
halafu utani unaoendana na ukweli mi sipendi ujue...hahahaha!
Nakusalimu kijana na washirika wenzako wakati huu....Teh teh , Mwaj... Aah sory Husninyo umenifurahisha atii.., hv kwanin hood bus stand imetengwa na stand kuu ya hapo doma?
Shikamoo shemeji Husnyhalafu utani unaoendana na ukweli mi sipendi ujue...hahahaha!
Teh teh , Mwaj... Aah sory Husninyo umenifurahisha atii.., hv kwanin hood bus stand imetengwa na stand kuu ya hapo doma?
Shikamoo shemeji Husny
Nakusalimu kijana na washirika wenzako wakati huu....
Naangalia match yan wazee wa Chelsea faster ntarudi baadae au asubuhi
kwasababu hawana magari yanayoenda daslam. Lol.
shem unaniamkia unataka kuninyima nini?