Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,397
- 139,356
Kumbe majipu ni sie watumishi tu,vigogo wa chama sio majipu
[emoji16] [emoji15] hamjampatia kitalu[emoji13]Chanzo nipashe ......ili gazeti ni la huyu fisadi papa alafu akishindwa kupata interest yake anapambana na kiongozi husika
Muhongo hana jinsi zaidi ya kubwaga manyanga kabla ya kufurushwaMwakyembe, Lukuvi, Muhongo wahusishwa na kashfa za ufisadi.
Chanzo: NIPASHE
Utajaza mwenyewe,nipashe ndio gazeti la taifa kwa sasaKumbe taarifa yenyewe imeandaliwa na GAZETI LA UKAWA!
Jumba la sanaaOhoooo ccm ni ile ileeee...
Kikubwa tumejua kuwa hao siyo waadilifuwamehusishwa but nothing will happen
Kama hauna sifa ya wizi CCM hauwezi kuwa shujaa,ni kama wamasai na sifa ya kuua simba.
Sio mengi pekee na mafisadi wa tanesco waliokua wanauza misumali kutoka nje kwa maefu ya usd na wauza mafuta hewa kwa tanesco ni genge hatari saana hiliHivi bado mengi anapambana na prof muhongo ila magu awez kubali ushenzi
mzee mwenzangu heri ya mwaka mpya. Nimekumiss Sana mtu mzima mwenzangu. Baada ya kuona kimnya kingi nilifikiri na wewe wamekutumbua lile jipu kubwa.Mengi anakuwa kama pweza anajipalilia mkaa mwenyewe.
mzee mwenzangu heri ya mwaka mpya. Nimekumiss Sana mtu mzima mwenzangu. Baada ya kuona kimnya kingi nilifikiri na wewe wamekutumbua lile jipu kubwa.
once a cockroach always a cockroach.Hivi bado mengi anapambana na prof muhongo ila magu awez kubali ushenzi
jipu la Zanzibar liko kwenye mwili wa huyo mtumbuaji wenu sasa kashindwa kujitumbua jipu limekua kubwa kama kibiongo.Siku hizi nipo Kimataifa zaidi. Tanzania tumeshamweka mtumbua majipu mahiri, mhangaike nae.
Eti Mhariri wa Nipashe aje na headingi kubwa front page SWEDEN WAPONGEZA MRADI WA REA....watakuta Mzee Mengi amezimia kwa mshtuko.Unategemea Gazeti la MENGI litampenda Pro. muhongo ???
Nguvu ya hoja.Every person is presumed innocent until proven guilty according to the law and unfortunately none of those Ministers have proven guilty. So there is not need for explanation for the things that no one will believe any explanation.