Mawaziri watatu watajwa kashfa za ufisadi

Mawaziri watatu watajwa kashfa za ufisadi

Kumbe ujui mengi ni mhariri huyu jamaa analazimisha wahariri wake wamchafue mtu ili anufaike kwa magufuli amegonga besela na misamaa ya kodi ndio basi tena asidhani hii nchi ni ya awamu ya 3 alipojilimbikizia mali kwa ujanja na wizi[/QUOTE]

Cheki nilivyokubamba, hii ni post ya pili leo nikikujibu kuhusu unavyomshambulia Mengi, this time (kwenye kikolezo) umedhihirisha wazi ni wivu unakusumbua. mwenzio kachumia wapi na lini wewe leo tumbo likuume!
 
once a thief always a thief

ile mahakama ifanye kazi yake bila kujali makunyanzi
sio kuishia kukimbizana na vibaka mitaani wakati wezi wamejificha kwenye kivuli cha uheshimiwa
Haya maneno mliwahi kumwambia sana mgombea urais wa chadema.
 
Mafisadi hata Magufuli amehusishwa na MV Dar kununuliwa mbovu
 
Gazet nipashe, heading mawazir 3 waingia kwenye kashifa,
Hiv unatarajia kabisa kwa akili ya nipashe inaweza kudika kizur juu ya hao iliyowataja?? Kwan jf members si inajulikana kuwa wana masilahi binafsi? Siku hizi naona mwananchi nao wameingia kwenye mkumbo huo,

Jana nlikuwa naangalia taarifa ya habar itv, wakati wanaliport bungeni habar ya kubenea kuongea dk2 nzima kwa kuwa anazungumzia escrow na zaidi kwa kuwa alikuwa anamtaja pr sos, ilipewa uzito, kimsingi hawa jamaa wa vyombo vya habar wanatumika kama dom,

Leo nasikiliza kipindi cha asb cha chenal10, olest na wenzie wametumia dk45 o more kuongelea swala la zanziba kwa upande mmoja bila kubalance story, napata taswira kuwa vyombo vyetu vya habar havina uhuru, ila vinaendeshwa kwa utashi wa mmiliki,

Niwape ushaur waandishi wa habar kabla hamjadai uhuru wa vyombo vya habari daini uhuru kwanza kwenye nyombo vyenu vya habar, ili muwe huru mtoke kwenye akili za kushikiwa, vinginevyo mtakuwa mnaupotosha uma...

Jipu pwaaaaaaaaaaaa
Mengi ni jipu liloiva siku nyingi. Ashauriwe aendelee kulea wajukuu wake.
Umiliki wake vyombo vya habari imekuwa silaha ya kuchafua watu na kulipa visasi.
Chanzo nipashe ......ili gazeti ni la huyu fisadi papa alafu akishindwa kupata interest yake anapambana na kiongozi husika
Kama hizo habari ni za kuchafuana waliohusika si wanende mahakamani???!!
 
Gazet nipashe, heading mawazir 3 waingia kwenye kashifa,
Hiv unatarajia kabisa kwa akili ya nipashe inaweza kudika kizur juu ya hao iliyowataja?? Kwan jf members si inajulikana kuwa wana masilahi binafsi? Siku hizi naona mwananchi nao wameingia kwenye mkumbo huo,

Jana nlikuwa naangalia taarifa ya habar itv, wakati wanaliport bungeni habar ya kubenea kuongea dk2 nzima kwa kuwa anazungumzia escrow na zaidi kwa kuwa alikuwa anamtaja pr sos, ilipewa uzito, kimsingi hawa jamaa wa vyombo vya habar wanatumika kama dom,

Leo nasikiliza kipindi cha asb cha chenal10, olest na wenzie wametumia dk45 o more kuongelea swala la zanziba kwa upande mmoja bila kubalance story, napata taswira kuwa vyombo vyetu vya habar havina uhuru, ila vinaendeshwa kwa utashi wa mmiliki,

Niwape ushaur waandishi wa habar kabla hamjadai uhuru wa vyombo vya habari daini uhuru kwanza kwenye nyombo vyenu vya habar, ili muwe huru mtoke kwenye akili za kushikiwa, vinginevyo mtakuwa mnaupotosha uma...

Jipu pwaaaaaaaaaaaa
Hilo halitawezekana. Rupert madock kila kukicha anamchnachana Obama USA kupitia fox na magazeti yake. Hapo UK alimchana Gordon Brown mpaka akaukosa u PM na vigazeti vyake vya SUN. Sema alishikwa patamu alipoingia mahala pasipotakiwa mpaka akaitwa na kamati ya bunge na yeye kulifunga gazeti lake. Tujiangalie sana na matajiri wanao miliki vyombo vya habari wanaweza kurubuni wananchi kuchagua viongozi wanaowataka wao hata kama si wazuri kwa raia wa nchi.
 
Nadhani ni muda muafaka Serikali itoe funzo kwa Mengi kwa kutumia back channels, kuendelea kuvumilia propaganda za kijinga kwa jina la uhuru wa habari ni kupotezea watanzania dira bila sababu ya msingi.
 
Mi nadhan tinga kuna watu aliwateuwa kwa ajili ya kuwadhalilisha, Jk na ubira wake alijua kuna mtu hagai sehumu fulani akampeleka kusiko na upigaji...kwanini??
 
Kila mtu anajua kwamba mawaziri waliopita walikua mafisadi na badhi Yao wameitafuna taifa kikwelikweli. Lakini tatizo kubwa ni ushahidi. Hakuna mtu hata mmoja anyeweka ushahidi juu ya meze hapo mahkamani. Hata huyo Lowasa alietoka huko CCM hazungumzii suala hili na yeye akiwa anawafahamu na anjua njia zote zilopitiwa.
Lowasa na wenzake wanatakiwa wafanye kazi kubwa ili kufichua maovu ya hao mafisadi ingawa na yeye pia alikua nao katika kugawana huo mgao.
Bila kujali CCM wala UKAWA tunatakiwa kushirikiana, tupambane na ufisadi na wala rushwa, tumuunge mkono Mh Raisi.
Natumaini Mh Raisi anataka sana kuikomesha ufisadi lakini yeye peke yake hataweza.
Tuajaribu kutoa maoni ya kuweza kupambana na mafisadi badala ya kubezana na kutoa lugha chafu, hapo hatutafika mahali popote, tutaishia tu kupiga kelele tu FISADI, FISADI, FISADI hadi tutakapo ingia kaburini.
 
Mi nadhan tinga kuna watu aliwateuwa kwa ajili ya kuwadhalilisha, Jk na ubira wake alijua kuna mtu hagai sehumu fulani akampeleka kusiko na upigaji...kwanini??

Ni kweli kabisa, inaonekana badhi ya mawaziri kama wamechomekwa kwa nguvu hapo. Magufuli anachohitaji kwa sasa ushirikiano ili kupambana na hao watu
 
Back
Top Bottom