Mabishano makali yazuka Baraza la Vita, Netanyahu afuta kikao

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,140
Yamezuka mabishano kwenye kikao cha Baraza la Vita kufuatia mwenendo wa hali halisi ilivyo Gaza

Wajumbe hawapendi Vita ichukue muda mrefu Wanataka imalizwe haraka kwa namna yoyote ile

Netanyahu amefuta kikao na kila mrengo umesema unaenda kujadili kwenye vyama vyao

Source Al jazeera news
 
Netanyahu alisema, kuna watu na mifano ya watu

Mifano ya watu ni wale wenye kujilipua mabomu na kung'ang'ania madaraka huku raia anaowaongoza wakichinjana kisa hawamtaki kiongozi huyo!

Watu, hawavai mabomu kujilipua na wanaachia madaraka pindi wanapotakiwa kufanya hivyo na wananchi na ama inapolazimu kufanya hivyo kwa masilahi ya wengine

Kwa maana nyingine, Warabu na Waafrica, ni mifano ya watu!
 
Yamezuka mabishano kwenye kikao cha Baraza la Vita kufuatia mwenendo wa hali halisi ilivyo Gaza

Wajumbe hawapendi Vita ichukue muda mrefu Wanataka imalizwe haraka kwa namna yoyote ile

Netanyahu amefuta kikao na kila mrengo umesema unaenda kujadili kwenye vyama vyao

Source Al jazeera news
Wangalikuwa wanauliwa watoto wa kikiristo ICC na UNO wangalikua hawaishi vikao. Tunaona UKRAIN. Kwa sababu wanaouliwa watoto wa kiislam wamekaa kimya. Kama kuna muislam hajazinduka dunia inavyoenda hazinduki tena
 
Pale waendelee kupafanya safi maana hao hao wanaotaka vita isitishwe wajue hizi kauli za kidini zimewekwa kwa ajili ya kuwafuta hao...

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Wangalikuwa wanauliwa watoto wa kikiristo ICC na UNO wangalikua hawaishi vikao. Tunaona UKRAIN. Kwa sababu wanaouliwa watoto wa kiislam wamekaa kimya. Kama kuna muislam hajazinduka dunia inavyoenda hazinduki tena

Wakristo wakijitoa ufahamu wachokoze na kuchinja watoto wa nchi nyingine halafu wauawe wala siwezi kuwaonea huruma. Yaani nikute Wakristo wenye hizi kauli dhidi ya majirani zao lazima wafe....
Sema kwa vile nyote mna miyo ya kigaidi na roho nyeusi, mumepofushwa na muarabu na kutokuona uovu wake.

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
‘825 Military Israeli Vehicles Destroyed’ – Resistance Roundup – DAY 83

December 28, 2023

On the 83rd day of the Israeli war on Gaza, the military spokesman for the Al-Qassam Brigades, Abu Obeida issued a statement, announcing the destruction of 825 military vehicles since the start of the war.

For Abu Obeida’s latest pre-recorded message, click here.
 
Wangalikuwa wanauliwa watoto wa kikiristo ICC na UNO wangalikua hawaishi vikao. Tunaona UKRAIN. Kwa sababu wanaouliwa watoto wa kiislam wamekaa kimya. Kama kuna muislam hajazinduka dunia inavyoenda hazinduki tena
Si mlitupa habari Humu kwamba Kuna wakristo wameuawa Bethlehem? Na hata gaza walipiga Kabisa na kuua watu?.
 
‘825 Military Israeli Vehicles Destroyed’ – Resistance Roundup – DAY 83

December 28, 2023

On the 83rd day of the Israeli war on Gaza, the military spokesman for the Al-Qassam Brigades, Abu Obeida issued a statement, announcing the destruction of 825 military vehicles since the start of the war.

For Abu Obeida’s latest pre-recorded message, click here.
Safi kabisaaaa
 
Yamezuka mabishano kwenye kikao cha Baraza la Vita kufuatia mwenendo wa hali halisi ilivyo Gaza

Wajumbe hawapendi Vita ichukue muda mrefu Wanataka imalizwe haraka kwa namna yoyote ile

Netanyahu amefuta kikao na kila mrengo umesema unaenda kujadili kwenye vyama vyao

Source Al jazeera news
Netanyahu hawezi kukubaliana na extremist Jews wanaotaka yapigwe mabom makubwa zaidi. kuna watu waliouliwa ndugu zao october 7 hadi wamesuggest lipigwe bom moja kubwa sana. sasa ikitokea hivyo dunia itamshtaki Netanyahu na ataendanalo maisha yake yote.
 
Iran nae kasema lazima alipe kisasi kwa yule Brigedia General aliye lipuliwa Syria na Iran akisema kitu lazima atafanya. Kipindi alipo lipuliwa Generali wao Kassim alisema atalipa kisasi kwa US, ila alikosea kuwaambia Iraq,kwamba atatumia anga lao kwani mmoja wa maafisa wakubwa aliwatonya US, japo aliipiga ile kambi ya US pale Iraq ila madhara hayakuwa makubwa.

Sasa ikiwa Iran ana jeuri ya kulipa kisasi kwa US, tena cha kuangamiza kambi nzima ,sijui safari atakuja kwa style gani ila Iran lazima atalipa kisasi tena wamesema kitakuwa kikubwa zaidi ya Oct saba. Hizbullah ndio kabisa kishalipua minara ya mawasiliano ya kijeshi, kisha zipiga kambi za kijeshi nae hapoi. Jamaa inabidi akubaliane na UN kusitisha vita na watafute suluhu ya kudumu.
Huyo Iran apambane na Wahindi 😂
 
Back
Top Bottom